kawe

KAWE, virtual and VHF digital channel 9, is a Public Broadcasting Service (PBS) member television station licensed to Bemidji, Minnesota, United States. The station is owned by Northern Minnesota Public Television, Inc. KAWE's studios are located on Grant Avenue Northeast in Bemidji, and its transmitter is located southeast of Blackduck, Minnesota.
KAWB (virtual channel 22, UHF digital channel 28) in Brainerd operates as a full-time satellite of KAWE; this station's transmitter is located near East Gull Lake, Minnesota. KAWB covers areas of central Minnesota that receive a marginal to non-existent over-the-air signal from KAWE, although there is significant overlap between the two stations' contours otherwise. KAWB is a straight simulcast of KAWE; on-air references to KAWB are limited to Federal Communications Commission (FCC)-mandated hourly station identifications during programming.
The two stations are collectively branded as Lakeland PBS. The network first took to the air on June 1, 1980 and was formerly known as Lakeland Public Television; it re-branded on January 8, 2018 to better align its brand with PBS. It is the only full-power television broadcasting operation based in north central Minnesota, an area that is served mainly by translators of the Minneapolis–Saint Paul television stations.
Lakeland PBS utilizes KAWB's channel 22 position on DirecTV and Dish Network's Twin Cities local lineups to avert confusion with Fox owned-and-operated station KMSP-TV (channel 9) in Minneapolis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kanisa la Mwamposa na maswali ya kujiuliza

    Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise & Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE). Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania NATABIRI: Hema la Mwamposa la Dar (Kawe) litageuka kuwa gofu kama lile hema lake kule Moshi (Memorial)

    Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania. Kumbukumbu zinaonyesha, miaka kadhaa nyuma, Boniface Mwamposa aliwahi kusimika hema kubwa kiasi katika...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dr Stergomena Tax ashauriwe kuchukua Fomu Jimbo la Kawe

    Jimbo lipo wazi na hapo jimboni ndio kambi na hospitali kubwa ya jeshi ulipo hivyo uhakika
  4. Bezecky

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania KAWE tunarudishiwa Halima Mdee - kupita bila kupingwa

    Ikiwa mmesikia ya Bunda basi Wana KAWE tujiandae kisaikolojia ujio wa COVID Mstaafu ili aingie tena Bungeni Mshahara 18m/month+ pensheni 400m TZS. Bye bye Baba Askofu Mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM

    Hemed Shabani Nkunya, Mfanyabiashara na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mbweni Mpiji mkoani Dar es Salaam ametia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kawe mkoani humo kwa tiketi ya CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchekeshaji Miraji Supakilla (MKALIWENU) atia nia kugombea ubunge jimbo la kawe

    Wakuu Mtu akishakua maarufu kidogo baasi anautaka ubunge
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kawe hakuna stendi?

    KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE? Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita katika eneo hili kila siku. Pamoja na ukuaji huo wa haraka wa mji, Kawe bado haina stendi rasmi ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawe & Kisesa kupata wabunge wapya 2025-2030?

    Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji, Maji ya kawe, Mbezi beach yanakuja na udongo, watu wana fungus wanaharisha pharmacy zimetuchoka msaada

    MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA. Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi. Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tatizo kubwa la maji ya bomba yanayokuja na udongo mzito...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ajiuzulu ubunge Kawe

    Wakuu nimeona hii taarifa kuwa Gwajima amejiuzulu ubunge kawe niya kweli?
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amjibu Gwajima, atangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe

    Kada wa CCM Mwijaku Burton ametangaza kurudi kuchukua jimbo la Kawe baada ya kile alichosema kuwa ni Gwajima kugeuka kuwa mwanaharakati baadala ya kutekeleza ilani ya CCM. Mwijaku ameyasema hayo kupitia mtandao wa X...
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  18. Investaa

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mgunduzi wa umeme wa sumaku KAWE!

    Habari za waseee. Kama title inavyojielezea hapo juu, kuna mshua nilimuona youtube ametengeneza machine ya kufua umeme kwa kutumia sumaku , nimekuwa exicited kwakwel kuonana nae . Mwenye namba yake ya simu naomba , kwa maelezo ya kwenye video anaishi kawe. Youtube video...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  20. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Shule ya Secondari Kawe Ukwamani mwanafunzi amesimamishwa masomo kwa kuharibu jiko

    Wakuu habari! Nina mjukuu wangu anasoma shule ya secondary KAWE UKWAMANI yupo form 4. Juzi wameandikiwa barua kuwa wanafunzi mia wameharibu jiko la kupikia lenye thamani ya milioni nne kwahiyo wamewasimamisha shule tokea Jumatatu watoto hawaendi shule, bibi yake alienda wanasema kuwa tuliwatoa...
Back
Top Bottom