kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

    Kwanza nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa uzima na afya anayonijalia SIKU zote. Pia nawashukuru JF Kwa kuweza jukwaa hili ili kuibua na kuendeleza mawazo yaliyokosa pa kusema. Wahenga walisema kuwa uyaone. Msemo mwepesi lakini uliobeba majonzi Kwa wale tunaoyaona sasa. Kwanini wanaendelea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  6. JamiiForums Tanzania "Mapenzi Ulaya, Afrika ni biashara." Hii kauli ni sahihi?

    Maeneo mengi ya bara la Afrika, mapenzi yanatazamwa Kama sehemu ya kuchumia Mali. Mfano mahari kubwa, kuhonga Mali na wanawake kujiuza, haya yote yanadhihirisha kuwa wanawake wa kiafrika hawana mapenzi ya dhati mbali wako after money Pia hata wazazi wengi wa mabinti wa kiafrika wanapenda...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

    Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida ''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  9. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

    Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
  11. JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  12. JamiiForums Tanzania Zile kauli za kihuni za Manara kwa CEO Barbara zimejibu

    Anaandika Meneja Ahmed Ally Nilitegemea hili na wasingejitoa ningeshangaa sana! Wakati wanaianza safari ya NANI ZAIDI hawakua na dira wala muelekeo Waliingia kichwa kichwa pengine walitaka kuwaridisha wadhamini Azam Tv lakini ukweli ni kwamba walikua hawajui wanafanya kitu gani Sababu zozote...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Tutafute Pesa" Ipuuzwe; Kwa Hatma njema Mtafute Mungu wako.

    IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO. Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Andiko hili lisomwe na Vijana wote. Usiwe mtumwa wa Pesa. Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

    TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo "Kauli ya Waziri Mkuu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  17. JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Salaam Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV "Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke lakini pia wanasahau kuigeuza hii kauli

    Habari wanajf Nina ndugu yangu wa kike aliolewa na jamaa mmoja hivi kutoka kabila la lile la wapenda sifa na wote wameingia kwenye ndoa wakiwa wote Wana hela lakini mwanaume ndio ana hela zaidi, kiukweli ndoa yao ilidumu ingawa kwenye ndoa hapakosi changamoto lakini ndugu yangu wa kike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…