kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

    Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

    Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata. Na akatoa angalizo la kwamba...
  3. N

    JamiiForums Tanzania 'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

    Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu' Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe kauli Mbiu ya 'Come Sunshine Come Rain' na Kujiamini Kuvuka imekuja baada ya Tajiri Komhonga Kocha Mkongo?

    Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia awapangie Kikosi dhaifu ili tuweze kufuzu Makundi na tuwaridhishe Wanachama, Wapenzi na Mashabiki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  7. JamiiForums Tanzania Africa Union Watch(AU) washangazwa na kauli ya uingiliaji mradi wa bomba la fatu Uganda hadi Tanzania.

    AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) Thinking ahead for Africa Public Policy Analysis Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective Solutions Atlantic Road, Cape Point Road, Banjul, Kanifing Municipal Council, The Gambia...
  8. JamiiForums Tanzania Panya road ni hatari ila kauli za viongozi juu ya panya road ni hatari zaidi

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya uhalifu yakihusiana na makundi ya vijana jiji Dar Es Salaam . makundi ayo maarufu kwa jina la PANYA ROAD . Matukio yamezidi kuwa mengi na athari ya matukio hayo ya uhalifu yamepelekea mpaka wanajamii kupata ulemavu , kubakia na majeraha na wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

    Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi. Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 "Fedha iliyopo msituni" kauli ya baba

    Nisingeweza kufika hatua ya kuandika ndan ya jukwaa la jamii forums bila Mali ambazo zimepatikana msituni. Mimi ni mwanafunzi mwenye elimu ya chuo kikuu, mafanikio yangu yametokana na bidii ya baba yangu kupanda miti miaka ya nyuma sana ambayo imesaidia katika kunisomesha mimi na ndugu zangu...
  12. JamiiForums Tanzania TRA tunaomba update ya hii kauli ya Rais

    TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii kauli ya TRA? Mnangoja nini?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba sahau ile ndoto yako ya kutaka kuwa Rais Tanzania

    Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei...
  14. JamiiForums Tanzania Kweli mdomo uliponza kichwa, "Anaepinga ahamie Burundi" hii kauli najua anaijutia sana sana kuiropoka

    Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa. Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

    Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

    Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8. Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
  19. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Vijana Zanzibar watoweka katika mazingira tatanishi. Wazazi, polisi watoa kauli kinzani

    Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…