kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

    Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika. Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana. Ukweli Mchungu!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  3. JamiiForums Tanzania Jimbo la Buyungu - Kauli Tata za Waliowahi Kuwa Wabunge

    WanaJf, Salaam! Naenda moja kwa moja kwenye agenda. (a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi." (b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa." (c). 2020 - Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  5. JamiiForums Tanzania NECTA Mjitafakari sana: Awamu ijayo tungeni mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule kwa mizania yenu

    Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kina dada mna maana gani ktk hii kauli?

    Mdada anayekataa kuingia kwenye ndoa kwa kisingizio cha "bado sijakamilisha mambo yangu". Huwa ana maana gani? Anajenga au anafungua biashara? Au nn? Kwani mambo hayo hawezi kuyakamilisha akiwa kwenye ndoa? Na unakuta anatoa kauli hii baada ya kupiga danadana kama mwaka ama miaka 2. Kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe yupo kibiashara zaidi na siyo kuwapigania maskini na wanyoge. Kauli yake imewaudhi wapigania haki

    Huwezi kutoa kauli kama hii kisa tu ulitia pesa zako kujenga chama. Unatamka hadharani kuwa ulishaumia sana. Ina maana sasa unafanya michongo ya kurudisha pesa zako? N.b Ndio maana makamanda wapo kimya hata kama bil 10z ilipigwa maana wanajua mkuu wetu anapiga na faida.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Ma Ex

    Habari ya muda huu wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa maridhiano haya Watanzania hatutarajii kuzisikia tena kauli hizi

    Asanteni viongozi wetu, Rais Samia na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wajumbe wa vyama vyenu kwa maridhiano kwa taifa. Binafsi nimefurahishwa sana kwa hekima busara na hofu ya Mungu waliyonayo hao viongozi kukubali kuridhiana kwa niaba ya Watanzania wote ili Watanzania tuishi kwa amani...
  12. JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya na hii kauli ya "Age is just a number"

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sio vibaya kujipa moyo Kwa MTU ambaye bado mambo yake yamemuendea mrama, yamemuendea kombo. Kauli hiyo hutumiwa kuwa-motivate Watu ambao wapo katika Zone ya hatari au katika hali ya kuchelewa. Kanuni kuu ya Maisha katika masuala ya muda ni kuwa "Kila Jambo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli mnazozitoa ni mbaya, acheni

    Mtu anakopa pesa halafu anasema hakuna mtanzania atakae gibgewa kodi kudaiwa deni, aise hiyo mikopo utalipwa na nani? Jitu linapandisha Gharama za nauli kutoka kiasi fulani mpaka kiasi fulani halafu unasema eti hakuna mtanzania ATASHINDWA KULIPA, wewe uko kwenye mifuko yetu au unatupa ruzuku ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

    TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA? Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
  18. JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  19. JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" Ilianzishwa na Wapinzani

    Kwema Wakuu! Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe. Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika. Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…