katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  3. JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  8. JamiiForums Tanzania Unawafahamu watu hawa katika tasnia ya mziki aina ya mnanda ISIYAKA a.k.a kwala rumpa na salma miwanja?

    Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida nao watu hawa kama bado wapo hai?naimani kwa wakongwe wa miaka hyo wanawafahamu balaa lao na vituko...
  9. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuanzia Kesho CCM Kuisimamisha Nchi Katika Uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika hapo November 27 Mwaka huu. Ambapo mpaka sasa imeonyesha CCM ikiendelea kuungwa mkono kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

    Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona . Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano . Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania UREMBO, UTANASHATI NA USAFI WA KINA KATIKA MAPENZI IWE NI LAZIMA SIO KWA NJE TU, BALI NI MUHIMU SANA KWA NDANI PIA, NA INAPENDEZA ZAIDI.

    Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi. Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  16. JamiiForums Tanzania Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
  17. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 290 kuimarisha Usimamizi wa Taka Ngumu katika Halmashauri za Dar

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na usimamizi wa taka ngumu katika Halmashauri tano za Mkoa wa Dar es salaam. Mratibu wa Mradi wa Benki ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Sijajua Serikali inatumia kipaumbele gani kujenga barabara za lami katika baadhi ya maeneo

    Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili. Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

    Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo waaminifu katika biashara hiyo. Kawaida ndizi zinapokomaa huwa zinavunwa na kuvundikwa kwenye sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…