katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taji Liundi jinsi alivyomuokoa katika Sanaa Civilian-Coin mwaka2004 tafadhali okoa Tena upya

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae...
  2. JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  3. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 80 utakuwa katika hali gani?

    Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania

    Je, unatamani kuwekeza kwenye Soko la Hisa Tanzania lakini hujui pa kuanzia? Au unataka kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa kutumia uchambuzi wa kitaalamu? Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kwa wanaoanza...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Al jazeera: Bei ya mafuta imeshuka katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana toka kuanza kwa vita vya USA-Israel dhidi ya Iran. Vipi huku kwetu?

    Shalom Shalom wakuu...!! Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango ambavyo havijapatwa kushuhudiwa toka vita ya Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya taifa la Iran...
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania katika kumuaga Kiongozi wa Taifa la IRAN KHAMENEI!

    Tanzania haijabaki nyuma katika diplomasia hii muhimu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Azam Energy hawaoneshi kiwango cha caffeine kilichopo kwenye vinywaji hivyo?

    Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Dkt. Nshala: Ofisi ya DPP imekiuka wajibu wa Kikatiba katika Kesi ya Lissu

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa. Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia...
  12. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kumfuta mtu katika fikra na hisia zenu? Mimi haikuwezekana

    This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu.. Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo ya kawaida? Yaani unakuwa unahisi like huyu mtu ni kama kuna cord flani invisible na instinctually...
  14. JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  16. JamiiForums Tanzania Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

    Unazimudu na kuzitatua vipi? 🤔
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihofia kumpoteza Mgonjwa katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba (Rubya Hospitali) sababu nilitakiwa nilipe kabla ya huduma

    Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura. Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania CRDB Mnakera sana katika huduma yenu ya SimBanking

    Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani Mara hii nimejaribu kununua umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote Mlituwekea huduma hii ya kazi gani? Mnakera sana ninyi.
  19. JamiiForums Tanzania Sex katika nguvu

    Wakuu kwema ! Nisiwachoshe sana naenda moja kwa moja Nini kinatokea katika ubadilishanaji wa nguvu kwa mwanamke mchanga na mwanaume mzee vivyo hivyo mwanaume mchanga na mwanamke mzee Kisha nipate ufafanuzi kwann ukionja penzi la mwanamke mkubwa sana unajikuta unatii mambo yake na kujinasibu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Afrika ijitathmini upya katika SOKA

    Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu. Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football) Rejea: 1.Senegal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…