katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Asili ya ukahaba na lugha ya Ibo katika ghuba ya Benin

    Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika Jiji la Bini, mji mkuu wa Dola ya Benin. Hali hii ilitokana na ukweli kwamba biashara ya mwili...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Ndata (Polisi) SP Awadh Chiko Kifo chake ni cha Kawaida au ni vile vyetu tunavyoviita vya 'Kama Kawaida' ukijaa katika Mifumo ya Watu?

    Kuna moja hiyo Kali nimeisikia tena kutoka kwa 'Mandata' Wenzake wa Kijitonyama alikokuwa akiishi, ila ngoja niuchune.
  4. JamiiForums Tanzania Manabii wana faida gani katika nchi yeti?

    A
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

    Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
  6. R

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  8. JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ni mtumiaji wa JF

    Wife nishakujua ila endelea kuwapiga pini wanaokuja DMs
  9. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  11. JamiiForums Tanzania SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Shida Tanesco na Polisi Katika Kuanzisha Maeneo ya Kiutawala ya Kiwilaya na Kimkoa

    Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna viongozi kama RPC (Kamanda wa Polisi wa Mkoa) na OCD (Kamanda wa Polisi wa Wilaya). Swali muhimu...
  13. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo umekua ukilifanya katika maisha yako na hujawahi kufundishwa shuleni wala nyumbani?

    MIMI👇 1. Kutemea mate pale nilipokojolea 2. ..........
  14. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

    Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Katika Mfuko wa JIKIMU UTT

    Habari wadau wa UTT, Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4? na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali --- Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kupitia Katibu Mkuu wake, Majaliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana Amani

    Kama unasikiaga UNAFIKI lakini hujawahi Kuuona, Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana AMANI. Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa.,... Sogea karibu..!
  18. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  19. JamiiForums Tanzania Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

    Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia bro wala usisumbuke na yaliyopita, waswahili wanasema YALIYOPITA SI NDWELE tazama mbele kuna maisha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: FURSA YA KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA KIWI NYEUSI

    Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu! ✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika! ✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari. ✅ Package zipo tayari kwa usambazaji. Tunahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…