katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Biblia katika Korea Kaskazini?

    Nchini Korea Kaskazini (Na. 1 kwenye Orodha ya Waliotazamiwa Ulimwenguni 2024) ambako Wakristo wanachukuliwa kuwa “tabaka la uadui,” kuwa na Biblia ni kinyume cha sheria . Kuwa na Biblia ndani yao kunaweza kuwa “ushahidi” unaohitajika ili kumkamata na kumfunga mtu (na familia yake) kwa kumfuata...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  3. JamiiForums Tanzania John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
  4. JamiiForums Tanzania Tariff na deportation ni ukamilisho wa ufunuo wa yohana

    Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Huduma ya vyoo katika mabasi ya mikoani

    Ndugu abiria tunapenda kuwafahamisha kuwa ndani ya basi letu tuna huduma ya choo kwa ajili ya haja ndogo pekee! Kama utakuwa na uhitaji wa ziada usisite kuomba msaada wa kondakta. Hii ni kauli ambayo Inatolewa Na wahudumu wengi ndani Ya mabasi haswa ukiwa safarini. Na huwa wanasisitiza kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa chakula katika shule za awali.

    SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali zimetakiwa kuwa na madarasa ya wanafunzi wa Awali. Na kwa msingi huo hata miundo mipya ya idara...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna nidhamu tena katika nchi,Chadema wanaleta picnic- mentality.

    Hakuna ushahidi kwamba CCM wanataka kuona kura. Sasa tunakuwa na laxity ambayo haijawahi kuonekana tokea Uhuru. Hii Kampeni ya No Reform No Election, Chadema wenyewe hawakubaliani Matatizo ya Uchaguzi yanakuwa exaggerated. Nchi kama yetu, developing country ,inatakiwa kuwa na nidhamu zaidi. Hata...
  8. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

    Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani. Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu. Kanisa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  10. JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  11. JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  12. JamiiForums Tanzania Makosa katika upishi

    Ya bahati mbaya Ya kutojua Ya makusudi
  13. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa sheria na kanuni za virutubishi katika vyakula na madini

    Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea. Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza...
  14. JamiiForums Tanzania Feitoto na Aziz ki katika sura zao za uzeeni.

    Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🤣
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni April, muda ni mchache mno, katika kufanya maboresho ya kanuni ya chaguzi zetu.

    Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za kiuana harakati, za kina maria sarungi, na mchungaji asiye na kanisa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  17. I

    JamiiForums Tanzania RDP ni nini? Katika Kompyuta yangu | RDP Server | Remote Desktop Protocol |

    RDP ni nini? | RDP Server | Remote Desktop Protocol | Maelezo Rahisi RDP Servers? Kabla ya kuzungumzia RDP Servers, ni muhimu kwanza kuelewa RDP ni nini na inatumika vipi. Baada ya hapo, tutajifunza kuhusu RDP Servers na pia tutajadili baadhi ya watoa huduma wa RDP/VPS. RDP ni nini? RDP ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Vikundi/ vyama vya KUFA na KUZIKANA vinaleta ustawi gani katika jamii?

    Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50. Katika jamii zetu kumekuwa na desturi au kaida za kuisaidiana katika Sherehe mbalimbali kama harusi, birthday, vipaimara...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION

    🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote. 🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥 Tuwaunge mkono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…