katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unaamini katika hiki.."Roho za uchawi...Roho za umasikini...Roho za mauti ...Mikosi na laana" jua wewe ni Gullible of the gullibles

    Wasalaam Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia uwajibikaji kumezuka neno Roho ya... Kwa mfano mtu ni mlevi,badala ya kumwambia kuwa ni mlevi na...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kula kula na kutapika katika bus Nini chanzo na suluhisho lake

    Kuna mtu kilometer 200 hatembei lazima apate njaa atake kula na biscuits na juice na tunda hazimtoshi yeye hutaka mayai,mahindi,samaki,kuku ,chipsu n.k Tatizo sasa wengine hutapika ukikaa naye seat moja utashuhudis..Nini chanzo cha Hali hii na victim yampasa azingatie Nini haswa
  4. JamiiForums Tanzania Kijana aliehukumiwa kifo kwa kushiriki katika mapinduzi yaliyoshindwa huko Congo amehamishwa yeye na wenzake kwenda Marekani.

    Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Jamaa kashtuka saa nane usiku dali limefungulia na panya mkubwa kaingia chumbani kwake.

  6. JamiiForums Tanzania Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

    A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split...
  7. JamiiForums Tanzania Ndg zetu katika Imani hii kucheza namna hii nayo imeandikwa kwenye kitabu kitukufu Quran?

    Sina mengi video inajionyesha japo zipo nyingine sijapenda kuziweka hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

    Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
  9. JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kuwa katika free time Mzungu anaisaka ADVENTURE huku Mwafrika anaisaka PLEASURE🤣

    MZUNGU NA ADVENTURE: HAYA SASA MUAFRIKA KATIKA KUISAKA PLEASURE: ALL IN ALL MAISHA YAENDELEE
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  11. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad (S.A.W) ametajwa katika Biblia kwa namna yoyote ile?

    Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Katika kitabu cha " Ninety minutes at Entebe.

    Baada ya Rais Idd Amin wa Uganda kuiteka ndege iliyokuwa imewabeba waisraeli na kuilazimisha kutua katika uwanja wa Entebe, kuna uokoaji uliandaliwa na askari wa kikosi kazi huko Israel. Haya yamo kwenye kile kitabu kiitwacho " ninety minutes at Entebe. Moja ya simulizi ya kuvutia ni sehemu...
  13. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Ijuwe tofauti ya kundi ukombozi vs kundi maslahi vs kundi chawa katika siasa za kidemokrasia Africa.

    Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania. 1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍

    Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍
  16. JamiiForums Tanzania Katika hii mitego minne Simba waliyoitega, je! Al Masry wataitegua yote?

    1: Hotelini 2: Uwanjani 3: Referees 4: Ulonzi Zinatafutwa goli 3 kuendelea, ngoja tuone.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa katika mchakato wa mikopo ya 10% ya halmashauri mkoani Mbeya

    Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri. Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi. Maafisa maendeleo katika...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Biblia katika Korea Kaskazini?

    Nchini Korea Kaskazini (Na. 1 kwenye Orodha ya Waliotazamiwa Ulimwenguni 2024) ambako Wakristo wanachukuliwa kuwa “tabaka la uadui,” kuwa na Biblia ni kinyume cha sheria . Kuwa na Biblia ndani yao kunaweza kuwa “ushahidi” unaohitajika ili kumkamata na kumfunga mtu (na familia yake) kwa kumfuata...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  20. JamiiForums Tanzania John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…