katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  2. JamiiForums Tanzania Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  4. JamiiForums Tanzania Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea Kariakoo Dabi

    Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa Kesho Juni 25, 2020 saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Ni utaratibu siku moja kabla ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kama waifanyiavyo Israel, nilitegemea kuona al jazeera wanaishutumu siku nzima Iran kwa kurusha makombora katika anga yao.

    Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri. al jazeera ipo nchini qatar. Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran. Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
  6. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao...
  7. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  8. JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  10. JamiiForums Tanzania Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

    Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
  11. JamiiForums Tanzania Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

    Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji. Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dira ya CCM inasemaje kuhusu miji kuwa na mifumo ya majitaka katika makazi?

    CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
  13. JamiiForums Tanzania BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  14. JamiiForums Tanzania Kalooist sikia, macho kodo eti isi wanatupenda ama wana ushamba na sisi,Bali Picha zao kote zinamalizia na ""Wasalamu ni wako katika Mateso"",Kumbuka

    Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi. Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu! Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism naona linapotoshwa ama linawekwa mahala ambapo siyo pake. Tunapotembelea ndugu rafiki na jamaa zetu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mama, hata wewe usilazimishe vyombo vya dola vifanye mengine kama inavyotokea katika mataifa mengine

    Mama, kama ulivyotushauri sisi wananchi, na mimi huo ndio ushauri wangu kwako kwani huwezi jua wanayapokeaje haya yanayoendelea hapa nchini.
  16. JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya hali ya utoaji wa Huduma katika Taasisi ya MOI kwa kipindi cha Februari 2025 hadi Mei 2025

  19. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  20. U

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…