katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongereni wanawake mliofanikiwa katika hili

    Nawazungumzia wanawake ambao ni wazazi/wenye watoto ambao wamefikisha umri wa miaka 18+ na 25+ Ambao mpaka watoto wao wanafikia umri huo, wamekuwa na maadili ambayo ni mfano mzuri wa kuigwa Kwenye familia. Watu wengine watasema, "ni Bora kuishi vile unavyopenda Haijalishi watu wanasema au...
  2. Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
  3. Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  4. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  5. Tembea katika njia kuu

    Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya biblia, Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa Njia zetu (Zab.119:105). Zipo njia Mbili tu zilizowekwa mbele ya kila mwanadamu, Nazo ni njia ya UZIMA, na njia ya MAUTI. Yeremia 21:8 “Nawe waambie watu...
  6. Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  7. A

    Umakini katika Kuadhibu watoto wetu

    Nilikua natumia muda kufikiria namna gani ni mwadhibu mwanangu kulingana na kosa alilotenda, kiasi kwamba mpaka nahairisha kumwadhibu au nasahau. Nimelelewa na mzazi ambaye anapiga balaa, yaani anatandika kinouma. kiasi kwamba ninamuogopa mpaka leo. Lakini katika kusoma soma kwangu nikapata...
  8. Wewe Kama mfanyabiashara makini unahitaji both physical and spiritual protection.

    Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa anamiliki maduka Kama sita ya huduma za kifedha,anapofunga maduka yake huwa anakusanya mpunga wote...
  9. Picha: Kuna ukweli katika hili asemalo huyu Mama

    Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo. Ukimya wake unamaanisha, ameumia Ukimya wake unamaanisha, hana furaha Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...
  10. R

    Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  11. Makosa Katika: "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey"

    Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa. Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake. Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere. Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu makosa hayo: "Mzee wa Atikali" (MwA) amepigiwa simu na Mhe Prof. Palamagamba Kabudi. Baada ya kuongea...
  12. Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  13. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hoja Katika Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2026

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
  14. Mwiko katika biashara

    Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa... Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni...
  15. Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  16. MSIGANO wa HAKI na AMANI katika Jamii (RIGHTS & PEACE Friction in a Society)

    Wakuu, Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi RIGHT AND PEACE Which one comes first? Both rights and peace maintenance are crucial, and prioritizing one over the...
  17. Haya ni Maeneo Matatu ambayo Katika Uislamu unaruhusiwa KUSEMA UONGO - (GHILBA) na wala si dhambi

    Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
  18. Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  19. Ijue Practical Meaning na Nafasi ya Resilience Katika 4Rs za Rais Samia

    Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza mchezo wa wait and see—time will tell. Neno Resilience linatokana na neno la Kilatini (Latin)...
  20. Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…