katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Ernest Mwamaja: Tanzania kuingia katika ramani ya kimataifa ya Utalii wa Mikutano (MICE)

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 ACT-Wazalendo Hakithamini Wanawake, Hakina Imani Nao Katika Uongozi

    Chama cha ACT-Wazalendo kinaonesha wazi kutowathamini wanawake na kukosa imani nao katika nafasi za juu za uongozi. Hali hii imejidhihirisha baada ya kumtangaza Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, licha ya kuwepo kwa Dorothy Semu ambaye tayari...
  4. JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  5. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona katika utawala wa Jumanne kaseja wapinzani walikuwa wanatangazwa, je aliyeua demokrasia kabisa ni Jumanne au Mzee wa Push -Up.?.

    Tuwe wakweli ikiwa Jumanne kaseja aliruhusu partial democracy wapinzani wakawa wanatangazwa na kushinda je anabidi kulaumiwa sana tofauti na yule mzee wa Push up ambaye kwa sasa yupo motoni.?..
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
  8. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  9. JamiiForums Tanzania Tusimunee Huruma Tundu Lissu Tuone aibu kwa kutokuwajibika katika nafasi zetu

    Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi..... Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele kigumu kama kumkagua mwekezaji wa mafuta na gesi kama amerudisha fedha alizowekeza katika mradi

    Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

    Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati. Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kipi afadhali katika ya hivi vitu viwili

    Kati ya kufumaniwa na mke wa mtu na kukutwa unafanya uchawi kipi kina afadhali. Msala gani una afadhali kati ya hiyo misala miwili?😁
  13. JamiiForums Tanzania Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  14. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu haufanikiwi katika Maisha yako ni udumavu wa Kiroho

    MOJA YA SABABU HAUFANIKIWI KATIKA MAISHA YAKO NIi UDUMAVU WA KIROHO. GROWTH AND DEVELOPMENT. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwaka wa kumi sasa huna mbele wala nyuma. Umedumaa. Chumba kimoja hichohicho. makochi yaleyale. Yaani hukui wala huongezeki. Kila unachogusa unakwama. Miaka unaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Kama uliweza kuvuka 30 na wala hauna addiction katika haya mambo au yameshndwa kunyonya kupindukia nishati yako na rasilimali zako, basi hongera sana

    Ni ngumu na mara chache sana ukishavuka 30 eti u-develop addiction mpya. 🚨KULA KUPINDUKIA FAST/JUNK FOODS 🚨KUNYWA KUPINDUKIA CARBONATED DRINKS 🚨 KUPUMULIWA KIFUA 🚨CLUBBING/PUBBING 🚨BETTING NA GAMBLING 🚨MITUNGI 🚨MIKASI 🚨NGADA 🚨SIGARA NA SHISHA 🚨MJANI 🚨OVER-MASTURBATION 🚨VIDONGE VYA...
  16. JamiiForums Tanzania REKODI ZA MAMA KATIKA MICHEZO

    Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee........... Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania. HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ! Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
  17. JamiiForums Tanzania Gambo na Makonda:Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.

    Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote aliyekuwa akidonoa hili gitaa la treble katika kibao hiki cha Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma alikuwa na kipaji cha kweli cha muziki

    Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga Media alikuwa na kipaji cha asili na cha kweli cha fani hiyo na sio kama vijana wa siku hizi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  20. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…