katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG katika harakati za kuleta mapinduzi ya nishati

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza. Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je ni mkoa gani nchini ambao unafaa katika kuanza maisha?

    Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9

    Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9 Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA Africa Hometown" uliozinduliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika Mkutano...
  5. JamiiForums Tanzania Kemikali zinazowekwa katika bidhaa za viwandani hutolewa wapi?

    Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi? Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi? Mkawe na asubuhi njema.
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  7. JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  8. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  9. JamiiForums Tanzania NENO LA TAREHE 27.08.2025; Ukipata Nafasi ya kuweka Misingi ya Haki Katika Taifa Fanya Hivyo Zama Hazigandi, Pole pole sio kulia Leo wengine somo Hilo

    Habari ya Wednesday Wana Jf, Neno la Leo Kwa ufupi, Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki. Nani asiyejua kuwa Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  11. JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  12. JamiiForums Tanzania kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli (The richest man in babylon)

    kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145. -> zijue kanuni fedha kiundani -> zijue siri za matajiri
  13. JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  15. JamiiForums Tanzania Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

    Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule. Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru
  16. JamiiForums Tanzania jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi nchini Yemen

    Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja baada ya waasi wa Houthi siku ya Ijumaa kurusha ndege isiyo na rubani na kombora la balestiki...
  17. JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  18. JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

    Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/**** Nawarudisha nyuma Kidogo Tuna sababu za kuilinda nchi yetu, Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

    Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako. Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi. Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima. Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja. Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…