katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi, tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na Kweli

    Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na...
  2. PreGE2025 Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi yaingie Katika Sheria

    Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea masuala ya Matumizi ya Mitandao katika Uchaguzi ikiwemo (Akili Mnemba - AI). Lugangira ametoa...
  3. Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  4. Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  5. R

    Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  6. R

    Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

    PART 1. Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Hesabu 23: 19) Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute. Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Isaya 34:16) Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa...
  7. Mapendekezo ya mabadiliko katika vifungu vya Sheria ya Bima

    Mapendekezo haya nayatoa kwa TIRA. Mabadiliko ninayopendekeza ni kwamba, kuwepo na rudisho (return of some proceeds) la fedha kwa mchangiaji wa bima inayoisha muda wake bila janga kutokea. SABABU ZA MAPENDEKEZO HAYA 1. Kuepusha mianya ya rushwa. Mmiliki wa gari yuko radhi kumshawishi askari...
  8. 20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

    Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama. Ichukulie kama ni wewe. Unauhakika wa kupata 20M cash, Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu. Una vyombo na kitanda tuu, Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale... Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
  9. Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  10. Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  11. Jeshi la Israel linasema kuwa litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini wa Gaza

    Wanaukumbi. The Israeli military says it will withdraw five combat brigades taking part in the ground invasion of Gaza so troops can “gain strength” for future battles =============== Jeshi la Israel limesema litaondoa vikosi vitano vya kijeshi vilivyoshiriki katika uvamizi wa ardhini huko Gaza...
  12. Changamoto za waafrika waliopo katika diaspora

    Kuna matatizo yanatokea. Na haya matatizo yanawahusu Waafrika kama sisi ambao wapo katika diaspora. Matatizo yao tunapswa kuyaona kwamba ni matatizo yetu. Na tunapaswa kuona maumivu katika maumivu yao. Nazungumza kuhusu kashfa inayolipuka kuhusu msanii Puff Daddy, Nabii T. D. Jakes. Na...
  13. Wangapi tumependa Maneno aliyoyaandika Mchezaji Meddie Kagere katika 'Flana' yake Jana?

    "UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI" Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki huku wao wakidhani wamefanikiwa walichokilenga kwangu wakati kumbe mimi ndiyo nawasanifu kuliko...
  14. Nashauri kufungwe kamera katika Miundombinu muhimu ili wanaoiharibu walipe faini au waishie jela

    Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
  15. Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

    Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
  16. Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  17. Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  18. Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  19. P

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
  20. Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

    Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…