katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko katika utoaji wa Police form no 3 (PF3)

    UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya udhibiti wa mianya ya wizi wa kura za wabunge na madiwani......

    Jana nilikuwa na mjadala wa kina wazalendo mwenzangu kuhusu mchakato wa uchaguzi wa wawakilishi wetu na mianya ya wizi wa kura ambayo ama imewekwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya lakini wajanja wanaitumia kufanya ujambazi wa kura za watu. Tulijikita kwenye uchaguzi wa wabunge na madiwani hasa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujifunze mambo muhimu katika chaguzi mbalimbali

    Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi. 2...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  7. JamiiForums Tanzania Mdau kipi ambacho kilikuvutia zaidi katika ligi kuu 2023/2024?

    Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii wasitumike ovyo na wanasiasa kipindi cha uchaguzi kwa kutanguliza pesa bali waangalie sera na maono ya wanasiasa hao katika kuleta maendeleo

    Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya uchumi

    Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25. 1. Viongozi kuwa wazalendo...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo katika sekta ya elimu

    Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:- 1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia katika kilimo

    kilimo ni uti wa mgongo katika uchumi wa nchi.kutokana na matokeo ya sensa ya kilimo mifugo na uvuvi ya mwaka 2019/2020 yanaonesha asilimia 65.5 ya kaya zilizopo Tanzania zinajihusisha na kilimo hii inaonesha ni kwa kiasi gani kilimo ni kitu tegemewa sana hapa kwetu Tanzania.sekta hii imechangia...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Mwani: Sera ya Uchumi wa Buluu katika kilimo cha Mwani, haitekelezwi. Kilimo chawa kigumu

    “Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi. Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo katika elimu

    Sekta ya elimu ni sehemu kubwa katika maendeleo ya taifa, elimu inasaidia kwa asilimia kubwa maendeleo ya taifa katika uongozaji na jpandaji wa uchumi. Elimu yetu kwakiasi kikubwa imekuwa ni elimu ya mtu kujinasua katika ngazi ya kifamilia na huku asilimia chache ikitumika katika maendeleo ya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…