katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
  2. JamiiForums Tanzania Msiwakatae watoto wa nje. Anaweza kukusaidia zaidi kuliko mtoto wako wa ndani ya ndoa

    Wanaume msiogope kuzaa nje, pengine huyo umezaa nje ndio atakusaidia. Msaidie huyo mtoto. Hawa watoto umezaa nyumbani wanaweza kukugeuka lakini ule ulizaa nje akusaidie. Chanzo: Global TV Kenya Na nyie Wanawake ( hasa mlioolewa ) acheni Nongwa zenu pale Mabwana zenu wakizaa Nje kwani ni Jambo...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoa ushuzi au kujamba katika Lugha ya Kingereza

    MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings) Mfano: Jesca farts a lot. (Jesca hutoa ushuzi sana / Jesca hujamba sana) 2. Flatulate: Hili ni neno...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Punguzo la tozo namba za usajili maalum za magari katika kuongeza pato la Serikali Tanzania

    Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba] Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania The power of failing successfully (Kuna nguvu katika kufeli kabla hujatoboa)

    Habari wanajamvi, Leo sina maneno mengi. Katika pitapita zangu nimekutana na concept moja inaitwa "How to fail successfully". Kwamba kufeli ni lazima, inategemea tu unaichukuaje, na unaishije baada ya changamoto. Ni hivi: Failure as a Path to Success: (Kushindwa ni sehemu ya njia ielekeayo...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kalamu inavyoweza kumtuliza mume asiyetulia katika ndoa yake

    Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya ya mume inazorota na hatari ya kupata maradhi inaongezeka. Basi mwanamke usiwe na wasiwasi, leo...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Usumbufu wa NSSF katika kudai mafao

    Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums? Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini. Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi. Ukishajua michango...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vita vya Gaza: Uthibitisho katika quran

    Suuratul Maida Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa msaada wa Marekani mateka wanne waokolewa,wanne wafa katika purukushani za uokoaji pamoja na raia 274

    Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno. Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa kwa kasi sana duniani na ni sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile, Tanzania nayo kama nchi inayohitaji maendeleo lazima kuendana na kasi ya maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Yafuatayo yakifanyika...
  13. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika Nyanja ya Akili Bandia

    Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka 5 hadi 25 ijayo. Lakini kwanza, tuanze kwa kuelewa akili bandia ni nini...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  17. JamiiForums Tanzania DAR: Wakamatwa baada ya kukutwa na Pistol toy (7), AK47 toy (2), Jambia toy (2), Shoka toy (2) walizotaka kutumia katika uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko katika utoaji wa Police form no 3 (PF3)

    UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo muhimu cha kudokumenti na kurekodi taarifa muhimu zinazohusiana na matukio hayo. PF3 inajumuisha...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya udhibiti wa mianya ya wizi wa kura za wabunge na madiwani......

    Jana nilikuwa na mjadala wa kina wazalendo mwenzangu kuhusu mchakato wa uchaguzi wa wawakilishi wetu na mianya ya wizi wa kura ambayo ama imewekwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya lakini wajanja wanaitumia kufanya ujambazi wa kura za watu. Tulijikita kwenye uchaguzi wa wabunge na madiwani hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…