katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  2. GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  3. GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

    Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
  4. Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  5. L

    TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  6. GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  7. R

    Msisahau aliyoyasema katibu wa UVCCM kuwa watatumia sindano. Nawakumbusha tu mana inasemekana Lisu anaumwa

    Msikilize TUTATUMIA SINDANO, NOW THE OPPOTUNITY IS RIPE
  8. GE2025 Katibu Mkuu TAHOSSA Frank Ndille achukua fomu kuwania Ubunge jimbo la Mbozi

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania Bara (TAHOSSA), Frank Ndile, mapema leo Juni 29, 2025 amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
  9. Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

    Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza. Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana...
  10. Naibu Katibu Mkuu John Mongella Akinukisha Bariadi

    GTs, Ndugu Mongella amesema Mwenyekiti awaachie vijana washughulike na wakosoaji wake awaita hawana akili. Maana yake sijui tutegemee nini sasa kwa akina Mpina na Gwajiboy?
  11. IDF yamuua Ali Akbar Ahmadian, Katibu wa Baraza la Usalama la Iran

    Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
  12. Amos Makalla roho yake ipo CHADEMA mwili upo CCM

    Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema. Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
  13. K

    DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  14. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  15. M

    Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
  16. M

    CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa Katibu Mwenezi,Amos Makala.

    Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi. Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
  17. L

    Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA.

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  18. S

    "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  19. S

    Tuhuma dhidi ya Amani Golugwa zililenga kukwamisha uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA

    "Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  20. Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro

    Balozi Yakubu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Comoro Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Comoro Mhe. Nour el Fatih Azali ambapo wamezungumzia masuala kadhaa ya ushirikiano wa Tanzania na Comoro. Balozi Yakubu alitumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…