katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
  2. Roving Journalist

    LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  3. H

    Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  4. R

    Katibu Mkuu BAWACHA, Pamela Maassay: Jeshi la Polisi halina mamlaka kutoa tafsiri ya kimahakama, tunampango kwenda Musoma kuadhimisha siku ya wanawake

    "Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma katika Maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani, tunajua hatujavunja Sheria." Amesema Pamela...
  5. Roving Journalist

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu azitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji mapato

    Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo inayoanza Julai 2026, ikiwemo Dira ya Taifa ya 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31). Akifungua Kikao Kazi...
  6. D

    Naibu Katibu Mkuu wizara ya maji apokelewa rasmi, ateta na watendaji

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es salaam. Katika...
  7. Roving Journalist

    Waziri Aweso ampokea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Zakaria Ambrose baada ya uapisho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Kesi ya jinai inayomkabili Yohana Rugembe na washtakiwa 20 yaendelea Mahakamani, Mashitaka yaongezwa kufikia 11

    Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali. Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
  9. Sifi Leo

    MSUTI wa katibu mkuu wa MAKAMU wa Rais kama wa Mzee wasira

    Mzee mbona MSUTI ni oversize?
  10. Minjingu Jingu

    KERO Waziri Wizara ya Elimu, Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo Wanawake na Watoto, Katibu Mkuu, Necta, Nacte, Tie. OKOENI HAWA WATOTO TUTAWAPOTEZA

    https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
  11. Egnecious

    Tafsiri ya kauli za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa; Tanzania kama nuru ya amani, umoja na usalama duniani

    TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI Na GULATONE MASIGA Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
  12. funaku

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  13. T

    Asharose Migiro katibu Mkuu CCM anaanza kazi lini?

    Kwa anasubiria uapisho? Toka ameteuliwa ni kama alilazimishwa kuwekwa hapo. Aanze kufanya kazi. Tunamsubiria huku mashinani.
  14. Msanii

    Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima yupo hatarini
  15. A

    KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  16. Waufukweni

    GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  17. Stuxnet

    GE2025 Eti wa Bumbuli kaachwa kwa ahadi ya kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Nchimbi, ni uwongo

    Yule kipara aliyetemwa na wana Bumbuli, kwenye mitandao ya jamii kuna chawa wake wanasema eti ameachwa kwa vile ndiye atakuwa mbadala wa Emmanuel Nchimbi kwenye u- Katibu Mkuu wa CCM. Yule aliyetuweka kwenye mgawo wa umeme mwaka 2023 huku akijitengenezea mabilioni ya shilingi kupitia kandarasi...
  18. G

    Katibu mkuu kiongozi, John Kijazi alifariki tarehe 17 Februari, mwezi mmoja baadaye akafariki Rais Magufuli

    Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021. Some say that the...
  19. Now and then

    Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  20. Waufukweni

    GE2025 Ameir Hassan: Nikichaguliwa Rais, mtapokea mshahara wa TSh 500,000 kila mwezi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini Taifa, Ameir Hassan Ameir, amesema kuwa endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika uchaguzi ujao, atahakikisha kila mwananchi wa Zanzibar anapokea mshahara wa shilingi 500,000 za...
Back
Top Bottom