katiba

  1. JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mama yupo sana sio wakati mzuri wa katiba mpya

    Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo mengi sana mengine vichwani. Ushauri wangu ni kwamba vitu ambavyo wanaweza kufanya bila katiba mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema kwamba, Katiba Mpya tunayoitafuta kwa nguvu nyingi haiwezi kutusaidia

    Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi. Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia ni Maoni si Msahafu, Msingi ni Katiba

    Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeipata hii nukuu toka kwa mdau wa Twitter wakati wa Mjadala wa Katiba

    Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema. "Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatuchanganya. Tunataka Katiba inayosimamia haki na sio Katiba Mpya. Kamwe Katiba hiyo haiwezi kutengenezwa na Wanasiasa

    Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao. Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

    Ivi hapa mama Samia kapotea. Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa? Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee? Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

    Ndugu zangu, Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda". Leo Rais Samia Hassan akijibu hoja hizi za "Katiba mpya" na Mikutano ya vyama vya siasa" kasema "nipeni muda nisimamie uchumi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Suala la Katiba mpya kwa Mtazamo wa CCM

  14. JamiiForums Tanzania Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

    Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake . Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nipende Kuungana na Watanzania Wenzangu Wapenda haki Kudai Katiba Mpya.

    Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

    Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  19. JamiiForums Tanzania Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

    Nawasalimu katika jina la Chama cha Mapinduzi. Kwa pamoja mjibu Chama kiendelee. Nimeona leo niweke hili suala la katiba sawa ili kusaidia wajinga wengi wasioelewa na kuishia kuchotwa kijinga na Chama Cha Mbowe (CHADEMA). Siku za hivi karibuni kumekuwa na kuhamasishana huko upande wa upinzani...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usianzishe mchakato wa Katiba mpya mpaka ujiridhishe usimamizi wa mchakato huu

    Wakuu, Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya. Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi. Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…