katiba

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

    "Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa Katiba Mpya uanze Januari 2026, lakini Tume ya Katiba Mpya iundwe Januari 2022

    Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa October 2025). Vyama vya siasa viruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  6. JamiiForums Tanzania Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

    Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  8. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali na Tume ya Warioba walichokisema juu ya Katiba Mpya

    Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema! Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa Katiba mpya jambo ambalo mpaka leo halijazaa matunda siyo kwasababu pengine wahusika wa jambo hili...
  11. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Katiba inayotaka Mawaziri wasiteuliwe, Mwigulu Nchemba angetufanyia dharau namna hii?

    Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa. Mkandarasi akilipwa madeni na serikali kweli pesa inaingia kwenye mzunguko...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Kwanini Katiba Mpya?

    Habari Tanzania! Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA? Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au kuakisi mahitaji? Kwanini hawa wapenda siasa na waishio ndani yao wanapenda kuaminisha UMMA yakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  14. JamiiForums Tanzania RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  16. JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro apiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya ya Ikungi

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
  17. JamiiForums Tanzania Tozo za Simu zinakiuka katiba

    TOZO ZA SIMU ZINAKIUKA KATIBA YA NCHI Viwango vipya vya tozo za mihamala vinakiuka katiba ya nchi. Iwe Katiba ya Sasa, Katiba mpya pendekezwa au ile ya Warioba. Zote zinakanyagwa kwa njia hizi: 1. Vinaingilia uhuru wa kuwasiliana. Uhuru wa kukusanyika siku hizi unafanyika kwa kuwasiliana. Watu...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded DC Jerry Muro atishia kuumiza na kupoteza watu wanaodai katiba

    IKUNGI-SINGIDA, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo lake atakula kichwa chake na kumpoteza mchana kweupe, ameongeza kua tumezoea kazi hiyo inafanywa na...
  19. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Katiba nzuri katika nchi za Afrika haina au ina msaada mdogo sana wa kuleta ustawi wa wananchi

    Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa kidemokrasia. Jambo lingine limetokea kule Kenya siku chache zilizopita ambapo Rais wa nchi hiyo aliongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…