katiba

  1. JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo ni bora katiba itafasiriwe kwa umakini ili kulinda maslahi ya umma

    Kwa mujibu wa ibara ya 67(1)(b) mbunge awe na sifa kamili za kuwa mbunge ni lazima aidhiniswhe na chama chake kugombea ubunge. Mdee na wenzake 18 ni dhahiri na wazi kabisa hawana sifa hiyo. Ibara ya 107A ya katiba ya JMT inatamka wazi kabisa kuwa mahakama ndio chombo pekee kilicho na mamlaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

    Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Lakini kama rais...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  4. JamiiForums Tanzania Katiba ya chadema imepitwa na wakati

    Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama , Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba Katiba mpya ya Chadema ni...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia apanga kuiandika upya katiba ya nchi hiyo

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ametangaza mpangp wake wa kuiandika upya Katiba ya Nchi yake Akitoa salamu za Sikukuu, Rais Saied ambaye alivunja Baraza la Mawaziri na Bunge amesema kamati itafanyia kazi suala hilo na italikamilisha ndani ya siku chache zijazo. Hakusema ni jinsi gani katiba hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

    👇
  8. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kitaalamu? CHADEMA wanatembeza hashtag ya katiba mpya, lakini wanamzuia Msigwa asitoe maoni kuhusu Royal Tour, wanaaminika?

    Watanzania tuwe makini ... Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake? Hawa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

    Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya. Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa sana kuwa kupitia pressure ya taasisi hiyo yenye nguvu nchini pamoja na kuunganisha nguvu za wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wa wanaCCM kupigania Katiba Mpya. Vinginevyo watabaki wakilalama na kulia kila siku

    Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala. Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM...
  16. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  17. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  18. JamiiForums Tanzania Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
  19. JamiiForums Tanzania Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa

    Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi. Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani. Washukuriwe marais Mwinyi na Samia wana shupavu wa kitanzania. Uvuvi wa majahazi unaondoshwa na wavuvi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…