CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo.
Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi
Kupunguzà madaraka ya Rais
Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais
Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais
Dpp kutokuchaguliwa na Rais...
Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo
Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani
Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
"Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa mchakato wakupata Katiba mpya utakaika katika kipindi cha awamu ya sita.
Soma pia: Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM
“Pamoja...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza kwamba katika kutambua umuhimu wa mshikamano kwa Watanzania wote, endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena, atahakikisha Serikali yake inaendeleza mchakato wa kupata Katiba mpya...
Mateso ambayo Hawa wahuni wametupatia Kwa miaka hii Minne, hamna wa kuyafuta, hamna Cha maridhiano Wala blaa blaa za aina hiyo !!.
Hawa wahuni wanajua kabisa kua Wakiachia Nchi hii Tutawafunga, Tutawanyonga ,Titawafilisi wao wenyewe kama wapo hai, au familia zao na watoto wao na Mali zao ...
Chaguzi za rais ,wabunge na madiwani zitakuwa huru. Sababu tume ya uchaguzi itakuwa huru.Wizi wa kura utadhibitiwa.
Mahakama zitakuwa huru, sababu majaji watakuwa wanaomba kazi hawatakuwa wateule wa rais.
Kesi zinazohusu uchaguzi zitakuwa huru na upendeleo utakoma.
Viongozi waliofanya...
Ni miaka mingi kumekuwa na kilio cha kufanyiwa mabadiliko ya tume ya uchaguzi ila mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema kama chama cha upinzani chini ya mwenyekiti freeman mbowe kwa pamoja waliazimia kuwe na mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi na wakaja na no reform no...
Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa Taifa ili kufanikisha ndoto ya kupata Katiba mpya.
Akizungumza leo Jumamosi Septemba 6, 2025...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
Mtu mmoja anatumika na watu wahuni kukwamisha mambo ya chama, CHADEMA inaingia kwenye mtego kirahisi.
CHADEMA ilipaswa kukubali siku ya kwanza kabisa mali kugawana sawa kwa amri ya mahakama. Zoezi lingeisha ndani ya wiki moja.
Mali zenyewe ni magari na majengo machache yasiyohamishika.
Hata...
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana.
Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm.
Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...