katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Waliokuwa mstari wa mbele kudai Katiba Mpya baada ya kupata vyeo leo wanaipinga

    Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa. Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya...
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Uamsho ilikuwa ni suala la kuwaandaa watu na Katiba Mpya

    Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya. Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wana CCM, Katiba Mpya iliyorekebishwa ni kwa mustakabali wetu sote

    Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano. Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano: 1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

    Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana. CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba. Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma. Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.
  5. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

    Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo; 1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa. 2...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM kwa busara, sikiliza na ikiwapendeza mfuate ushauri huu juu ya katiba mpya

    Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya, Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mnyukano wa wanasiasa kikwazo Kikuu cha Katiba Mpya

    Kikwazo kikuu cha kupatikana kwa katiba mpya hapa nchini Tanzania ni mnyukano wa wanasiasa. Wapinzani wanaitaka katiba mpya kama chombo cha kuwasaidia kuitoa ccm madarakani. Ikiwa mantiki iko hivyo hata wewe ungekua CCM usingekubali. Kwa upande wa ccm wanaona hii katiba inawasaidia kuitawala...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

    Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki. Nikaongeza ni suala la muda tu makundi mengine yataibuka na kuunga mkono agenda ya Katiba Mpya. Huyu keshaanza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  10. JamiiForums Tanzania Kigwangala: Mzee Kikwete alisikia kilio cha Katiba Mpya, lakini walewale waliokuwa wanadai walikimbia

    "Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
  11. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu

    "Chama cha siasa huanzishwa kuwaleta pamoja watu wenye mawazo na sera zenye kufanana. Lengo kuu ni kuleta ustawi wa watu. CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu. Nakubaliana na Mhe. Rais, kwa sasa tukomae na ustawi wa uchumi, Katiba baadaye!"- Mh. Kigwangalla ===...
  12. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hoja tano ngumu za mchakato wa Katiba Mpya kuanzishwa tena

    Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye changamoto nyingi za kiutawala, kiuongozi, kisiasa, kijamii na kiuchumi hivyo uwepo wa mahitaji mapya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye suala la Katiba Mpya haya ndio matokeo yake

    Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake. Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania. Someni wenyewe hichi alicho...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi

    Pamoja na kuwa Mama Samia anaweza kuwa anayo nia njema na ya dhati kuhusiana na haki, uhuru na usawa wa watu, kizingiti kitaendelea kuwa wale wahafidhina wanaomzunguka. CCM hao watakuwa ndiyo walio waasisi wa ile salamu yetu pendwa ya "Kazi Iendelee" na hata kile kidokezo chetu cha "JPM =...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: inawezekana CHADEMA wana baraka za Rais ila kwa siri kubwa

    Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
  18. JamiiForums Tanzania Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao

    Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao. Leo nimeona nifafanue hili suala la katiba mpya ili angalau wafuasi wa CHADEMA waelewe kwamba wanachofanya kwa sasa ni ndoto za mchana. Ni sawa na kupiga ngumi ukuta. Ni kweli kunahitajika marekebisho kwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Bavicha ngazi zote kuanzia taifa hadi Msingi undeni kamati za kudai Katiba mpya kabla hatujaingia rasmi mitaani!

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amevitaka vikao vyote vya kikatiba vya Bavicha kuanzia Taifa hadi Msingi kuandaa kamati za kudai Katiba mpya. Mnyika amesema ni vema wakajipanga sawasawa kabla ya kuingia rasmi mitaani kushinikiza uundwaji wa katiba mpya. Nawasalimu kwa jina la JMT!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…