katiba mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli, tutapataje Katiba Mpya kama hatutampitisha bila kupingwa Rais Samia 2025 ili akatukamilishie Mchakato kuelekea 2030?

    Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya. Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake. Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

    Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli uchaguzi utakuwaje wa haki bila ya kuwapo katiba mpya yenye tume huru ndani yake? Kwamba tumekubali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wakati wa uchaguzi baadhi walisema jirani zetu wako vizuri kwa kuwa na tume huru na Katiba Mpya

    Wakati wa uchaguzi wa jirani na ndugu zetu kuna baadhi ya wenzetu Watanzania walisifu sana kuwa wenzetu wako mbali kidemokrasia tujifunze kutoka kwao lakini kwa yanayoendelea kama mambo yenyewe ya demokrasia yako hivyo ni bora tuendelee na katiba iliyopo na tume ya uchaguzi iliyopo kuliko...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Danadana za Katiba Mpya

    Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni. Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuhusu wabunge 19 wa viti maalumu tuiachie Mahakama, siwezi kusema neno

    Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke. Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani. Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti...
  10. JamiiForums Tanzania Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM hawahangaiki kabisa na Katiba Mpya?

    Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao! Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM? Jumaa kareem!
  13. JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

    Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  15. JamiiForums Tanzania Mexico: Wananchi waandamana kupinga Mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi

    JF SUMMARY Maandamano hayo yanafuatia hatua ya Bunge kupitisha Sheria inayopunguza Bajeti ya Mhimili huo, Kufunga Baadhi ya Ofisi pamoja na kupunguza idadi ya Wafanyakazi wake. Rais Andrés Manuel López Obrador ameishutumu Taasisi ya Taifa ya Uchaguzi (INE) kwa kutokuwa na Uzalendo na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  17. D

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Katiba Mpya iruhusu Marais Wastaafu kugombea wakitakiwa na wananchi

    Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM". Hata hivyo, kama...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga. Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi. Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi. Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya seeks divine help to end crippling, ongoing drought

    With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday. William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mchakato wa Katiba Mpya ni lazima utungiwe Sheria nyingine ile ya Tume ya Warioba haitumiki tena!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya. Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake. Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…