katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunasimama na Lissu, alipo tupo

    Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu: Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya na Kasi ya Mabadiliko

    #Storyofchange2023 Mwandishi: Wa Kale Mawasiliano, Email: officialmapatotz@gmail.com Simu: +255745922142 Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Ikiwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
  7. JamiiForums Tanzania USHAURI: Simba ihamishe nguvu kudai katiba mpya kwa sasa walau kutoa mchango kwa jamii kuliko kukaa bila specific mission

    Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
  8. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi?

    Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi? Naombeni nondo
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wakati huu Simba ihamishie nguvu kudai katiba mpya kuliko kukaa

    Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanawake wa CHADEMA wanaandamana kudai katiba mpya na kutaka Wabunge 19 waondolewe Bungeni

    BAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es Salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  12. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itokane na Wananchi wenyewe

    Maoni ya kupata Katiba mpya na safi itokane na WANANCHI wenyewe wa Kila makundi kupitia mikutano ya Kitongoji, Kijiji na mitaa na sio kutafuta wawakilishi ambao waliowengi wanatoa mawazo dhahania ya wenzao na sio wananchi. Ni HERI serikali itumie gharama kubwa ili kupata Katiba safi isiyona...
  13. JamiiForums Tanzania Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  15. R

    JamiiForums Tanzania Lissu tuambie, unaamini Bunge la sasa linaweza kufanya maboresho ya sheria ya vyama vya siasa,uchaguzi na katiba mpya?

    Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020. Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria. NI wazi kabisa kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau, Wasomi Kuhusu Hatua ya Rais Samia Kuagiza Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi. Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira asiwemo kwenye Timu ya Katiba Mpya kwa sababu alishajiapiza bila serikali 2 hakuna Katiba Mpya

    Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya. Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato. Maendeleo hayana Chama!
  18. JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inakuja Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wasiokuwa tayari kuipigania katiba mpya waufyate

    Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu. Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo: Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko kwao? Nisiwachoshe, tusichoshane. "Katiba mpya tunayoitaka ya kupewa mezani haipo. Asiyekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…