Kwa mujibu wa makubaliano ya muungano watanganyika wanatakiwa kuchukua ajira 79% na wazanzibar 21% tu kwenye secta zote zenye makubaliano ya kimuungano.
Lakini kwa Sasa ni tofauti kabisa wazanzibar wanachukua ajira mpaka kwenye halimashauri na zahanati za vijiji.
Tujiulize je Kuna...
UCHAMBUZI WA KISHERIA: MADHAIFU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977 KATIKA MUKTADHA WA MAHITAJI YA SASA
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ni chombo kikuu cha kisheria kinachoongoza uendeshaji wa dola. Hata hivyo, kutokana na mageuzi ya kijamii, kisiasa na...
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional.
Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
Wakuu,
Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee
"Upatikanaji wa Kataiba tunayotumia leo haikupaatikana kwa michakato hii ambayo tunaambiwa leo ni...
Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana..
Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa.
Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya.
Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA.
Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni.
▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima.
▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote.
▪︎ kutokuwepo kwa...
Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa.
Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho.
Hapa mahakama zitakuwa huru?
Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
Kama hatufuati katiba ni kajitabu tu, inamaana hakuna raisi, hakuna polisi wala hakuna nchi wala serikali kila mtu kivyake katiba ndio msingi.
Watu wasio na akili waambieni katiba ndio msingi kama haipo inamaana hakuna amiri jeshi wala JWTZ wala nani kila mtu ni kama hayupo tu. sasa inakuwa je...
Samia amewekwa na wananchi?
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala.
Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.