Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.
Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao...