Kabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo
1. Kama mtu atafanya uhalifu, atafungwa jela yeye, watoto wake na wajukuu zake wote
2. Hutakiwi hata kutafakari kuhusu uhalifu, yaani ukikamatwa hata ukitafakari au kujiuliza...