kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya: Rais Samia na Emanuel Nchimbi wanaleta Tanzania yenye kasi ya maendeleo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel...
  2. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabasi ya mwendo kasi taa zimeungua

    Muda huu natoka darasani hapa DIT nimeshuhudia basi la mwendo kasi la Kutoka Morocco kwenda kivukoni(Kipisi) taa za mbele na nyuma haziwaki kasoro moja ya nyuma kushoto (ukilitazama basi kwa nyuma), Hii ni hatari sana,kwa waenda kwa miguu hasa wenye matatizo ya macho na hata abiria,dereva na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SHILLINGI YA TANZANIA INAVYOZIDI KUSHUKA KWA KASI YA AJABU

    Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Scania Marcopolo za mwendo kasi zimefika!

    𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 Hatimaye zimewasili Dar es salaam Scania Marcopolo Viale zinatumia gesi Cc [VALERIAN BANDA] Kwa ajili ya mradi wa mwendokasi 𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂 #TanzaniaBuses #SafariBora #BusService #alltanzaniabuses #atbupdates #ATBsnap
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga

    Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani, katika Mkoa wa Tanga. Akiongea kabla...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kasi internet ya Vodacom

    Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  12. JamiiForums Tanzania Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

    Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
  13. JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa suluhisho la mwendo kasi kwenye maeneo yasiyoruhusiwa bila kubagua

    Tazama video
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

    Hili limeniumiza sana Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite. Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
  15. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

    Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika. Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita waziri mpya wa ujenzi alifanya ziara Mwanza. Tuliona vifaa vya kutengeneza barabara vikichimba eneo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka. Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Nauli katika Kituo cha Bajaj Ferry (Dar) zinapanda kwa kasi, Wananchi tunaumia, LATRA mdhibiti kinachoendelea

    Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati” “Kupitia mpango wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…