kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rwanda wanachangamka kwa Kasi, Sisi tupo tu!

    Wenzetu wanazidi kuchanja mbuga, Na sasa wameanza kutumia fursa ya Vyanzo vyetu vya utalii kupiga pesa. Rwanda Air kwasasa wana Direct flights kutoka baadhi ya Miji mikubwa Duniani to Kigali, then to JNIA and KIA. Air Tanzania hawana mpango wowote, wacha majirani watusaidie. Few to mention...
  2. JamiiForums Tanzania Pilipili Mwendokasi imesimamaje sokoni?

    Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje. Wadau mwenye taarifa anijuze
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini uvumilivu umepungua kwa kasi sana

    God is good, Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida? Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa! 27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa. Mwanzo 5:27 Sasa kama Methusela aliishi miaka 969 tukipewa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo yako kasi

    Ulikuwa mwema binti mpole, mavazi ya kiafrika kutoka kijijini, ulipofika mjini ofisi ikakuamini ikakupa kazi, ofisi ikakufundisha na mavazi ya kuvaa binti, ukakubali ukaanza kuvaa European style, hukuishia hapo ukafanyika organizational marketing binti wa watu, ukaanza kunawili kwani hukupata...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Waongeza Kasi ya Ujenzi wa Sekondari Mpya Kwenye Kata za Jimbo la Musoma Vijijini

    WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu. Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

    Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point. Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi? Sidhani hata kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye kasi zaidi Duniani akazaliwa

    Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani. Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa Mchezo huo wengi wao wakiwa wamarekani wenzie na kufanikiwa kuwa bingwa wa mita 100. Wakati hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

    Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
  10. JamiiForums Tanzania Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  11. JamiiForums Tanzania Siridhishwi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Awali ya yote, nipongeze juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya kiongozi wake Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa anatekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake hayati Dk. John Pombe Magufuli, pia kuibua miradi mipya na kuitekeleza kukamilifu. Hata hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepunguza Kasi ya Kupumbazwa na Muonekano wa Wanawake warembo (PisiKali)

    Shalom, Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually. Kwa sasa nakula vizuri bia kidogo, wine full kabati, matunda, misosi bomba. Nikiita shoo nakamua mwanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  14. JamiiForums Tanzania Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

    1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
  15. JamiiForums Tanzania Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara, Punde baada ya kumaliza chuo ,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile. Natembea barabarani kwa kuvimba Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani. Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  18. JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

    wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo. Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi. Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
  19. JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  20. 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…