Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana
Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti
X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
UNRWA ikusanya zaidi ya dollar bilioni moja kila mwaka za pesa za misaada na pesa hizi zilipotea katika mifuko ya maofisa waliokuwa wamewekwa na hamas katika nafasi za shule hizo.
Pesa hizo zilitumika ku-fund vitendo vya kigaidi na machafuko.
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni.
Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views...
Naam am back,
Wadau wa JF je mnaikumbuka kashfa au skendo maarufu ya kisiasa kuwahi kutokea na kuitikisa Marekani miaka ile ya 1970s?
Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba rais wa 37 wa marekani wakati huo bwana Richard nixon iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kikatiba miaka ya...
MADHARA YA KASHFA NA TUHUMA ZA UZUSHI
Madhara ya kashfa ni kwamba unaweza kufukuzwa kazi,kutengwa na familia pamoja na jamii, unaweza kupoteza ajira, unaweza kupoteza uaminifu katika jamii, unaweza kupoteza heshima yako kwenye jamii, mahusiano/ndoa kuvunjika ghafla, mauaji, umwagaji damu hasa...
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui...
Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza.
Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili katika ofisi ya umma. Kashfa hiyo iliibuka baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa video zaidi ya 400...
Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta.
Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo
============================
Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze...
JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.
Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.