kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

    Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision. Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji. Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi...
  2. Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  3. Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  4. Si mnaona Palestina na Israel hawaposti Pray for Kariakoo!

    Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya). Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii. Watu wamepata matatizo, acha wapray wao kwa wao, kama sisi tunavyoachwa tupray sisi kwa sisi...
  5. Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  6. Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

    Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
  7. Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  8. Ally Kiba Awasili Kariakoo

    Ally Kiba Awasili Kariakoo @ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
  9. Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

    Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
  10. Ni hatari sana kwenda au kuishi Kariakoo

    Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa ni ya mchongo, huwa wanaweka load kubwa sana huko magorofani. Kuna uwezekano mkubwa sana magorofa...
  11. Rais Samia aongeza Saa 24 kwenye uokoaji Kariakoo

    Wakuu, Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee? Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie! ===== Maagizo ya Rais wa Jamhuri...
  12. J

    Prof. Tibaijuka: Kwa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kujenga ghorofa Kariakoo!

    Mbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa Nimeogopa sana Kwa yale maghorofa ya Kikinga yaliyojaa Kariakoo na Manzese Baadae Mlale unono 🐼 ---- POLENI...
  13. Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

    Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida. So much suffering in this world.
  14. Si ajabu kuna Watanzania wenzetu wanatamani wangedondokewa na kifusi Kariakoo

    Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
  15. TBC kwa ili la Kariakoo sioni sababu ya kuundwa sheria ya kuwatambua kama taasisi itakayo jitegemea

    Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła Seriali linatoa huduma, ambapo linategemea kupata Ruzuku Serikalini Kwanini Nasema Tbc hawafai kwenda...
  16. Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Polisi kumtafuta mmiliki wa Jengo lililoporomoka Kariakoo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na kujeruhi wengine zaidi ya 80. Pia, amesema kuwa Serikali imeunda timu ya watu 19 kwa ajili ya kukagua...
  17. Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  18. Kutangazwa hadharani wajumbe wa kamati nzima ya uchunguzi majengo Kariakoo ni kosa la kiufundi

    Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani. Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema. Katika...
  19. Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…