kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  2. JamiiForums Tanzania Plot for Sale at Kariakoo Gerezani along Sokoine drive

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

    Kati ya vinywaji pendwa sana ukiachana na mitungi DSM ni juice za matunda(plus joto linachangia) mimi pia hupenda juice kila nilapo lazima niwe nayo pembeni... Huwa napendelea sana kununua hasa kwa wale wenye vigori vyao, sio za kuandaliwa alafu ziwekwe kwenye chupa za soda.. Kila nikienda...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  5. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  6. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo Tandamti st

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  7. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukuta mafundi ujenzi hawana vifaa vya usalama Kariakoo ni kawaida, wengine wanapanda ghorofani kujenga wakiwa na yeboyebo

    Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida. Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  10. JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,lipo Kariakoo bei ni billion7,kuna frame,apartments&godown

    Gorofa hili lipo kariakoo mtaa wa mafia karibu na ipokua club ya yanga ya zamani Kazi imenyooka sana warith wawili tu na wamekubaliana kuuza Ina incam nzuri sana . Jengo lina floor 8 zakuishi. Kila floor 1 ina apaiment 4 na kila apartment ina mpangaji analipa kodi 800,000 kwa mwezi za vyumba...
  11. JamiiForums Tanzania TRA karibuni miavuli ya Kariakoo

    TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta winga Kariakoo

    Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa Dar,. Hivyo kama kuna Winga unamfahamu ambaye ni mwaminifu mwenye ambaye tutafanya kazi nipewe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro imevunjika Mtaa wa Muhonda na Muheza Kariakoo

    Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu Tunaiomba jamiiforums ipeleke kero hii kwa wahusika Hapa ni mtaa wa muheza na muhonda kariakoo karibu na China...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mitaa Iliyonipa Pesa Nyingi Kariakoo

    Habari wakuu, Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu. Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya construction, kitengo cha manunuzi (Procurement). Kazi yangu ilinifanya nizunguke Kariakoo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kariakoo sehemu gani ni bigfish wa laptop ?

    Naombeni msaada nataka niwe winga wa laptop ila sijui chimbo naombeni mnielekeze wapi?...kwa kariakoo
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa TV bei za jumla kariakoo

    Huu uzi nitapost bei za jumla za tv brand zote . Ni kwaajili ya wafanyabiashara wa tv mikoani na wateja wanahitaji pieces nyingi pekee. Tupo kariakoo mtaa wa magila 📍 Whatsapp 0745588735
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  18. JamiiForums Tanzania Moto wazuka katika moja ya Ghorofa Mtaa wa Agrey, Kariakoo

    Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa moto huo ulianza ghafla na kisha kusambaa kwa kasi ndani ya jengo husika. Jeshi la...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu. Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…