karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    Karia: Taarifa ya kamati ya masaa 72 ya kusema goli la Simba dhidi ya Yanga lilikuwa halali, stetimenti wameikosea

    Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania( TFF) Wallance Karia ametoa mtazamo wake kuhusu kilichotokea kweny taarifa ya bodi ya ligii kuu kupitia kamati ya masaa 72 ya kusema goli lililofungwa na muamuzi kulikataa goli hilo lilikuwa goli la halali, taarifa yao hiyo ilikosewa kulingana na...
  2. zaza1

    Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  3. Pdidy

    Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia

    #MsasaSports Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya waamuzi wa ligi kuu ya NBC makao makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema “Msimu huu utakuwa msimu wa tofauti sana, kwa wale ambao watafanya vizuri tutapongezana, na...
  4. ngara23

    Wanasimba tuliofurahia ushindi wa Karia . Tukumbuke Karia hatamkaba Pacome, Boyeli au Doumbia

    Sitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa. Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia Lakini tukumbuke tu huyo tunayedhani atatusaidia haingii uwanjani kumkaba Pacome, Max, Mudathiri...
  5. President of China

    Yanga hawajapongeza ushindi wa Karia mpaka sasa - Simba na timu zingine zote wamempongeza Rais wa TFF kwa ushindi mnono

    Bango limejieleza hapo juu.
  6. B

    Raisi karia kashinda uraisi wa TFF

    Habari ndo hiyo.. Yule msomalia kashinda tena
  7. Kinoamiguu

    Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO

    Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli 1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri...
  8. Mwanongwa

    Sakata la uchaguzi mkuu TFF, Naibu Waziri MwanaFA amkingia kifua Karia, waziri Kabudi aingilia kati

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Mwaluko Kabudi amelazimika kuingilia kati sakata la uchaguzi mkuu wa TFF baada ya Naibu Waziri wake Hamis Mwinjuma "MwanaFA" kushindwa kuyafanyia kazi mapendekezo ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Taarifa kutoka Wizara ya...
  9. MwananchiOG

    Wallace Karia hapaswi kurejea katika nafasi yake baada ya kuonyesha failure na upendeleo wa wazi katika sakata la derby

    Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
  10. M

    Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  11. NALIA NGWENA

    Kwa Nini Wallace Karia Hastahili Kuwa Rais wa TFF?!, hizi hapa Sababu kuu

    Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
  12. ngara23

    Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

    Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha...
  13. ngara23

    Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Inasemekana mashambulizi yamemzidia President Karibu kutoka kila Kona, kuanzia serikalini, vilabu na wadau Kuna kampuni kubwa ya kurusha matangazo ya mpira imekuwa ikipiga hodi TFF kuomba kurusha ligi ya NBC PL, lakini Rais Karia amekuwa akikumbatia Azam media, japo hiyo kampuni ilitangaza...
  14. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  15. kalisheshe

    Ugumu wa maisha bila kazi na Uchu wa Madaraka; Kisa cha "Endorsement" za Wallace Karia

    Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
  16. Nehemia Kilave

    Pamoja na mapungufu bado nitaungana na Eng. Hersi kwamba Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa TFF

    Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa . 2.Timu zinadhamika , wadhamini...
  17. M

    Simba tuwajengee Mnara Karia na viongozi wa Bodi kwa Uzalendo wao kwetu

    Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
  18. Frank Wanjiru

    Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  19. A

    Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  20. DuaZaMama

    Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
Back
Top Bottom