karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Kwanini Karia asijitathimini?

    Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo. TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa...
  2. K

    Ni wakati sasa kwa TAKUKURU kuanzisha uchunguzi dhidi ya Bw. Wallace Karia

    Ikiwa TAKUKURU ni taasisi huru, tafadhali chukueni hatua juu ya malalamiko yanayoendelea kuibuka, kwani watu wengi hawaridhishwi na namna Bw. Wallace Karia anavyosimamia rasilimali fedha za TFF. Aidha, mtu huyo anaonekana kuwa na upendeleo mkubwa katika maamuzi yake. === If PCCB is independent...
  3. A

    Malinzi na Celestine Mwesigwa walikutwa na makosa 28 ya wizi wa fedha za TFF, Karia katika hili anasalimilkaje?

    Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina. Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation. Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo professional kabisa.....sio tu kwenye masuala ya fedha....bali karibu jambo analolifanya. Yaani...
  4. Lupweko

    Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  5. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  6. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  7. uhurumoja

    Kweli Karia minne tena!!yani Leo Tanzania girls ni WA kuwatambia Congo DRC kwenye soka

    Wakuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Karia kaboresha sana mpira wa Tanzania huenda vita anayopigwa ni sababu havai kobaz ila kajitahidi sana imagine AFCON team zote zimeshiriki hadi ule mpira wa watu 5 wasichana tumeshiriki na kufanya vizuri Ligi ya under 20 Jana tumeona soka safi na league...
  8. Waufukweni

    Rais wa TFF, Karia aipongeza Kamati mpya ya Waamuzi Mpira wa Miguu, ahimiza Weledi

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula, iliyochaguliwa leo Mei 30,2025 katika ukumbi wa Maktaba jijini Tanga.
  9. Pdidy

    Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  10. Waufukweni

    Karia, Hersi wakiwa bungeni kushuhudia uwasilishaji bajeti ya michezo

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
  11. Mhafidhina07

    Simba na karia wenu mnatuharibia mpira na sisi tunahonga mpaka tuchukue kombe

    Mambo ya kiwaki nyie jamaa hamfai kuongoza ligi yety,mambo ya UCCM mnayaleta kwenye ball.
  12. Waufukweni

    Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  13. Pdidy

    Karia hii asali lazima uimeze haina jinsi pole sana kukataa kuongea na waandishi..sindano ilipoingilia ndipo inapotokea

    kakangu Mjomba wangu Haya mambo lazima na n lazima utayameze Nilikujulishe tu kama mjommbaa ile asali uliyotema lwenye conference lazima uimeze tenaaa nakujuza tu uliidharau yanga ipo siku itakuadhibu nipe mdaa ulitutukana kama tumeshindwa mpira tukaangaliee cinema nakwambia utakuwa wa...
  14. Waufukweni

    Video: Rais wa TFF, Wallace Karia hoi akitoka kwenye Kikao kizito na Serikali, asema "Siongei na Mtu"

    Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu" Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani...
  15. Titicomb

    Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  16. M

    Haji Manara ametoa rasmi cinema aliyosema Rais Karia

    Ile cinema aliyosema Rais wa TFF kuhusu Yanga hatimaye leo ijumaa imetoka na angalieni kwenye Manara TV, asante
  17. Waufukweni

    Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  18. Inside10

    Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  19. Waufukweni

    Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia "Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
  20. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
Back
Top Bottom