karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waliomchukulia fomu ya kugombea urais wa TFF Wallace Karia wamelipwa nini?

    Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF. Swali ni hili: Wamelipwa nini...
  2. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
  3. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Kocha Fred Minziro akanusha kuwa na tofauti na Karia, awashangaa wazushi

    Kocha wa timu ya Geita Gold, Fred Felix Minziro amewakanusha watu wote wanaosambaza video inayojaribu kuwashawishi washabiki waamini kwamba Rais wa TFF ana chuki naye na kwamba aliukwepa kwa makusudi mkono wake. Minziro amesema Karia ni rafiki yake mkubwa na wamekuwa wakizungumza mara kwa mara...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Abdalah Bulembo kuishtaki TFF ya Karia mahakamani

    Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u makamo wa Rais wa TFF. "...kipengere hicho kinakiuka katiba na miongozo ya wenye mpira Duniani na...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

    Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

    Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana ! Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko...
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Karia kugombea tena urais wa TFF. Je, Karia anastahili nafasi nyingine?

    Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF. Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha. Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
Back
Top Bottom