Kwa watumiaji na wafanyabiashara wa karanga
Tunawakaribisha Segese, Kahama, kwa Adam Piniel Posho Mill. Tunapokea karanga kutoka kwa wakulima na kuuza kwa bei za jumla zikiwa safi na kavu.
Fursa kwa vijana na wafanyabiashara
Tunayo mashine ya kisasa ya kukoboa karanga kulingana na mahitaji ya...