karanga

A karanga (call out, summon) is an element of cultural protocol of the Māori people of Aotearoa New Zealand. It is an exchange of calls that forms part of the powhiri, a Māori welcoming ceremony. It takes place as a visiting group moves onto the marae or into the formal meeting area. Karanga are carried out almost exclusively by women and in Māori language, and are initiated by the tangata whenua or hosts, and responded to by the visitors.
Karanga follow a particular format in keeping with protocol. This includes exchanging greetings, paying tribute to the dead (especially those who have most recently died), and referring to the reason for the groups' coming together. It has an important function in building connections between tangata whenua and manuhiri (guests), and setting the agenda for the gathering.

View More On Wikipedia.org
  1. msigazi

    Wapi naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga?

    Nimekuwa mjini muda mrefu sana Nimeona kukaa mjini hailipi Napanga niende kijijini nikalime Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao Niko kanda ya ziwa Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga Na nikafanikiwa...
  2. Mtamba wa Panya

    Nahitaji karanga kwa wingi

    Habari, Nahitaji karanga kama Tani 100. Naomba kujua wapi nitapata mzigo mkubwa kama huu na bei yake ikoje. Ahsante.
  3. M

    Kula karanga mbichi kutasaidia kumpa mimba?

    Nimebahatika kupata mdada huko nyuma alishawahi kuolewa akapata watoto wawili. Ni muda mrefu hajapata ujauzito. Mimi pia nataka nimjaze fasta. Mitaani wadau huwa wanadai karanga mbichi huwa ziongeza sperm count hivyo kusadia uja uzito. Wadau wa shoo za ukweli hivi ni kweli karanga mbichi huwa...
  4. KISUNZU YP

    INAUZWA Jipatie peanut bata (siagi ya karanga)

    Peanut Butter (Siagi ya karanga) Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji wa mafuta ya kupikia ukikumbuka kwamba mafuta haya sio salaama kwa afya. UNAIPATAJE? Tupo Tabora...
Back
Top Bottom