kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  2. JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni nani anayemtumia Habib Mchange kulivuruga Kanisa?

    Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania. Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Video hizi kuhusu Askofu Ruwa'ichi kuomba radhi zimetengenezwa kwa Akili Unde

  6. JamiiForums Tanzania Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

    Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kanisa Katoliki

    1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao 2. Kanisa katoliki halijitangazi 3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2. 4. Ukiondoka hupigiwa simu hata uasi miaka 10 na ukirudi huulizwi ulikuwa wapi? 5. Hakuna muda wa kutabiri, sijui uponya, fukuza...
  10. JamiiForums Tanzania Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli utajiri wa Kanisa Katoliki unatokana na Serikali?

    Wakuu, Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini? Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Katoliki Kanisa Imara sijapata kuona

    I admire Catholic's level of being unbothered. You'll criticize their religion, they will listen for u to finish. They go to church...they eat their sacrament, they pass by their locals, catch a bottle of their favourite beer and go home. They don't even waste their energy defending their...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

    Friends and Our Enemies, Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari...
  14. JamiiForums Tanzania Tukisikia kanisa katoliki limehujumiwa kwa namna yoyote ile au viongozi wao kudhuriwa; tunajua tatizo liko wapi

    Data zimetunzwa!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sasa lawama zote ni kwa kanisa, badala ya mifumo iliyojaa rushwa na uzembe

    Mie nilijua shida ni mifumo yetu yetu ya kiutumishi wa umma kutamalaki kwa rushwa na ufisad
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuliangalia Kanisa kwa miezi 6, yaweza kumaanisha mahubiri yapelekwe idara ya MAELEZO ili yahaririwe. Haitakuwa sawa

    Fikra za Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Mchemba ametoa maelekezo kadhaa. Napongeza kwa uangalifu mkubwa. Mjaluo ukimpongeza kabla hajamaliza kazi, huwa anaacha na kuondoka kwenda nyumbani akiamini amemaliza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

    Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…