1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao
2. Kanisa katoliki halijitangazi
3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2.
4. Ukiondoka hupigiwa simu hata uasi miaka 10 na ukirudi huulizwi ulikuwa wapi?
5. Hakuna muda wa kutabiri, sijui uponya, fukuza...