Katika maisha kuna muda unafikia a point of no return..
Ndugu zangu, niwaweke tu wazi ya kuwa am now saying a final farewell to y'all..
JF has been a wonderful place,
Sincerely speaking nimegrow humu, nilikuja as a naive young guy in 2021 and now full of wisdom.
Nataka kusema kuwa najiweka...