Kupitia Ukurusa wake wa X zamani Twitter anaandika Mwanasiasa Emmanuel Ntobi,
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya Ziwa—mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu. Cha kushangaza zaidi, mkoa mmoja wa Dodoma...