kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya clearing ya kununua

    Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi? Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu? Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako? Nimeona Japan kuna makampuni yana miaka zaidi ya 500. Sisi kampuni kongwe lina miaka mingapi? Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara. Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza anisaidie. Au kama kuna watu wa KYOSK wako humu naomba wanitafute nipate mawasiliano yao. Kwa wale...
  7. JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  8. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni mbili nataka kuanzisha kampuni ya production

    Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa? Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
  9. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kampuni yako ipo salama? Usipuuze hili!

    1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA! BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership Information). Muda wa mwisho: 15 Aprili 2025. 🚨 2/ Hili ni hitaji la kisheria chini ya Sheria ya Makampuni...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi kuwasili Aprili

    Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG). Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hatua Kuu Tatu Ambazo Kampuni Inabidi Ipitie Ili Ikamilike

    Watu wengi Hufikiria kua ukishapewa Certificate of Incorporation na Brela basi Kampuni imekamilika na unaweza kufanya biashara. Ila ukweli ni kwamba ni lazima Kampuni Ipitie hatua hizi Tatu. 1. Registration Stage Hapa unasajili Kampuni Yako kupitia mfumo wa Brela, kama kila kitu kitakua sawa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

    Habari wakuu Naomba ushauri na mwongozo Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sunbet Yaingiza mkwanja mrefu south

    Kampuni hii ya michezo ya bahati nasibu imepiga bingo kwa zaidi ya asilimia 60. Ikunbukwe kuwa south Kuna miamba wengine wa betting kama betway na hollywoodbet . Hata hivyo mapato hayo yanaashiria wabetiji kuumia. Pamoja na hayo mafanikio ya kampuni ua kubashiri huambatana na uwekezaji mzuri ...
  16. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  17. JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

    Kampuni ya ulinzi ya GARDWORLD inapenda kuwatangazia watu wote nafasi za kazi. Kwa maelezo zaidi angalia attachment hapo chini.
  18. JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Songoro Marine wawekwa hadharani

    Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu uchumi. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Major Songoro ni miongoni mwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503

    Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa. Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…