kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kuna kijana kutoka NIT anaomba sehemu ya kufanyia field kwa kampuni yoyote ya Forward and clearing

    Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano yake haya hapa 0778928217 Naomba tumsaidie Wana JF Yupo Daressalaam.
  2. JamiiForums Tanzania Kama upo kundi hili la huduma na biashara natoa offa ya website design pamoja na email ya kampuni kwa 180,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumewakamata Walinzi wa Kampuni ya Nyamiaga kwa kumshambulia kwa fimbo Dereva aliyekuwa kwenye mzani Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi juu ya tukio linalosambaa kweye mitandao ya kijamii likionyesha picha mjongeo ya mwanaume mmoja akiwa anashambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa fimbo na watu ambao ni walinzi wakishirikiana na mtumishi wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi katika Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama wamekuwa kero kwa Wananchi, tunaomba msaada

    Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Kampuni yangu

    Habari wadau wa JF, Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa zilizonisaidia kujikwamua kiuchumi. Vilevile, mijadala na simulizi mbalimbali zinazoshirikishwa hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Kulinda Vifaa vya Kazi vya Kampuni: Ofa Maalum za B2B kwa Simu na E-Devices

    Habari za kazi wakuu, Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

    Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni Mambo Manne Yatakayo Tokea Kampuni Yako Isipo File Beneficial Ownership

    Habari Mjasiriamali, Karibu kwenye Episode 2 ya Business Compliance series" na Leo tunaongelea"Beneficial ownership" Kila Kampuni Ina wajibu wa Kusajili beneficial owners ndani ya siku 30 baada ya Kusajili Kampuni. Hili ni takwa la kisheria ambalo kila Kampuni inalazimika kulifuata kama...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ma Kampuni ni kero wanataka Percent ktk Project za watu

    Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

    Nalileta kwenu wataalam, Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je Wewe ni CEO Mwenye Kampuni Ambayo bado Haijaanza Kazi Tangu Isajiliwe? Yakupasa Kufahamu Hili…

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; (a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? (b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumelipia viwanja Vikonje 'BM' – Dodoma, kampuni iliyotuuzia imeingia mitini, tunaomba msaada Serikalini hatusaidiwi

    Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma. Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nitaendendealea kutoa mfulizo wa Changamoto za kampuni ya BRAC kwa vijana Waajiriwa wa hiyo kampuni

    Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

    Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili 1.Mikopo ya vikundi 2. Mikopo binafsi Changamoto wanayopitia...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…