kampeni ccm 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Steve Nyerere: Ni unafiki Wasanii kufuta picha za kampeni CCM, mnadhani wataacha kuwatukana? Tayari Rais tunaye

    Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) akisema ni unafiki na kutokuwa na msimamo "Mstafuuu,....Nimeona Wasanii wengi Wanafuta Picha za...
  2. R

    GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  3. R

    GE2025 Aden Mayala: Nimeishi CHADEMA kwa Manyanyaso, nimevutiwa na ilani ya CCM, hakuna Maandamano tukapige kura

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Aden Mayala Oktoba 22, 2025 alijiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema amechoshwa na manyanyaso ndani ya kilichokuwa chama chake Akizungumza Oktoba 22, 2025 katika...
  4. R

    GE2025 Masanja Kadogosa: Ubunge siyo majaribio lazima tuulize katika taifa hili umefanya nini

    Tumuulize Mgombea ubunge nafasi ya urais Samia amefanya nini kwa Maendeleo kama siyo kuongeza deni la taifa anafanya kazi ya kukamia tu " Mimi ndiye amiri mkuu wa jeshi" ---------- Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini mkoani Simiyu, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana...
  5. R

    GE2025 Kawaida: Wenzetu wamekubali kushindwa ndo maana wanapanga Maandamano, tuhamasishane Oktoba 29 tukatiki

    Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
  6. R

    GE2025 Mgombea ubunge Jimbo la Mtambile Pemba: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna Maandamano

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika...
  7. R

    GE2025 Chid Benz: Inabidi watu watiki, wanaopiga mishale haihusiki na chama

    Rashid Makwiro almaarufu kama Chid Benz Msanii wa Bongo fleva ameonekana akiwa pamoja na Msanii Shetta ambaye pia ni Mgombea Ubunge CCM Kata ya Mchikichi wakiwa katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu...
  8. R

    GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala atimkia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Aden Mayala amekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika viwanja...
  9. R

    GE2025 Mussa Zungu: Rais Samia ametoa Bilioni 200 ujenzi Mfumo mpya wa maji taka Ilala

    Hawa wazee wa CCM wakubali tu wamechoka maana wakienda bungeni watajikuta wanasaini mikataba ya kutuuza kabisa Zungu jamani kweli ndo kuzuia maji taka kuua samaki barabarani au ndo mradi mpya wa CCM wa makazi mapya ya samaki:confused: waachieni wenye afya na nguvu imara ya kuongoza nchi mkalee...
  10. R

    GE2025 Mwenezi CCM Arusha, Saipulani Ramsey: Uchaguzi ni jambo la kupita, asijitokeze mwanasiasa yeyote kuwaambia bodaboda muandamane

    Mwenezi wa Itikadi, Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekutana na zaidi ya waendesha bodaboda 300 jijini Arusha na kuwasihi kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kuratibiwa kupitia mitandao ya kijamii tarehe 29 Oktoba, akisisitiza umuhimu wa kulinda...
  11. R

    GE2025 Wenje: Chama kinachosusia uchaguzi ni cha fujo, nimepata wokovu CCM

    Wenje tangu ahamie CCM amecharuka zaidi :Alien: :Alien::Alien: Vituko vinaendelea huko Wenje anasema amepata wokovu CCM leo hii anaiponda CHADEMA eti ni hawana mipango wanashinda Mtandaoni kazi yao nge nge nge nge nge Uchawa ni mbaya yaani kama vile siyo Wenje wa enzi zile -----------...
  12. R

    GE2025 Baba Levo ajibu ombi la mwananchi 'Nimesikia kilio cha watu wangu Kagera'

    Baada ya mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Kagera kueleza kero wanazokumbana nazo akimuomba Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo kuwa endapo atapata ridhaa ya nafasi hiyo basi awasaidie Miongoni mwa Kero alizoeleza ni Kodi...
  13. R

    GE2025 Makonda atua kwa Mafundi Gereji Kuomba kura kwa Rais Samia, waahidi Mitano tena

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni ndani ya jimbo hilo ambapo alikutana na Umoja wa Mafundi wa Suye Garage, ambapo aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 Akizungumza...
  14. Inside10

    GE2025 Mwigulu Nchemba: Wapuuzeni wanaosema tumechapisha fedha, nchi ina akiba ya Dola Bilioni 6.7 (sawa na Trilioni 16)

    Mgombea Ubunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za uongo mtandaoni kwamba serikali imechapisha fedha kwa ajili ya kufadhili shughuli za Uchaguzi Mkuu ujao. Amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na...
  15. Mafyangula

    GE2025 Mwananchi: Tunafurahi kwa ujio wa Rais Samia, Rukwa, ila tunachangamoto ya maji afanye atutue ndoo kichwani

    Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani humo tarehe 18 na 19 Oktoba mwaka huu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Kizwite...
  16. R

    GE2025 Masanja Kadogosa: Vijana mjue amani ya nchi hii imejengwa kwa gharama kubwa lazima tuilinde

    Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu, Masanja Kadogosa amewasisitiza wakazi wa Kata ya Masewa hasa kundi la vijana kulinda amani ya nchi iliyopiganiwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abed Amani...
  17. R

    GE2025 Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa

    Kuhama tu Chama ndo anaanza kutoa na taarifa kuhusu mikakati ya CHADEMA hadharani ----------- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Victoria, Mbunge Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Ezekia Dibogo Wenje ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga...
  18. R

    GE2025 Jenista Mhagama: Tutajenga vyumba vya Madarasa zaidi ya 255 kupitia Ilani ya Uchaguzi CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kitaendelea kusimamia ubora wa elimu katika Jimbo la Peramiho na kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa 255 ili kuwezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira bora zaidi Hayo yamebainishwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Bi. Jenista Mhagama...
  19. R

    GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara ‎ ‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika...
  20. R

    GE2025 Baba Levo: Oktoba 28 hakutakuwa na Kampeni naoa, nitauliza serikali kama watu wangu kula wali na nyama siku ya harusi yangu ni Rushwa?

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema kuwa Oktoba 28, 2025 siku kabla ya Uchaguzi atafunga ndoa na Mkewe hivyo hakutakuwa na Mkutano wa Kampeni na kudai atauliza Serikali kama watu wake wa Jimbo hilo kula wali...
Back
Top Bottom