Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.
Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi...
Baada ya CCM kula spana za kutosha kuhusu kutumia akaunti rasmi za Seriklai ikiwemo Youtube channel ya Ikulu naona somo limewaingia. Jana Septemba 18, 2025 wakati mama akifanya kampeni zake Nungwi, Zanzibar walikuwaa live kupitia Youtube channel ya chama chao.
Kuna wakati hawa Wanasiasa wanatakiwa kuchuja maneno kuhusu mambo wanayoyanadi kwa wananchi kabla ya kukurupuka na kuropoka vitu ambavyo kiuhalisia wananchi tunajua na tunaviona
Kama ni umasikini ni tatizo kubwa kwenye familia na imeongezeka kwa awamu hii ya uongozi ambapo deni la Taifa pia...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tandahimba na Newala (TANECU LTD) Karimu Chipola amemuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake mkubwa katika sekta ya kilimo, hususan zao la korosho
Akizungumza katika uzinduzi wa...
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mohamed Mchengerwa anaweka wazi kuwa endapo akipewa ridhaa na Wananchi wa Rufiji kuwa Mbunge katika awamu ijayo ya Miaka Mitano ambapo ameahidi ongezeko la Viwanda ili kukuza Ajira kwa Vijana Mjini hapo.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mara Esther Bulaya amezindua kampeni za ubunge katika jimbo hilo huku akitaja vipaumbele mbalimbali atakavyohakikisha anasimamia baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kufanya Kampeni ya kuomba kura Kigoma Mjini, ambapo kupitia Mahojiano ya Wasafi TV baadhi ya wananchi wa Kigoma wameeleza kupendezwa na mgombea huyo wakidai kauli mbiu ya mitano tena haitoshi kuwa ingefaa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Asenga ameahidi kutatatua changamoto ya miundombinu ya barabara za mitaa kwa kupata kilomita 10 za kiwango cha changarawe kila kata, ahadi hizo ametoa kwa wananchi wa jimbo hilo na kuomba apewe ridhaa ya kuendelea...
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuwa Mbunge kwa awamu nyingine ataongeza na kuboresha miundombinu ya Elimu, Afya, Barabara pamoja na Maji ili wananchi Wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida...
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa Polisi,Longido kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Ijumaa Septemba 12,2025...
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
Akizungumza leo, Septemba 10...
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa Igunga mkoani Tabora leo, Jumatano Septemba 10, 2025, ametoa wito kwa wafugaji wa mkoa huo kupeleka mifugo yao kwenye chanjo na utambuzi ili kuiweka Tanzania katika viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni.
Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine.
Akizungumza na wananchi wa...
Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni
Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo...
Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi?
Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika.
Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale...
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada...
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.