Wakuu,
Sasa wameona iwe ni mwendo wa kuzunguka kwenye Vijiwe kutoa elimu ya umuhimu wa kulinda amani ya nchi,, kumbe inawaumiza kichwa tuendelee kukaza waku hadi kieleweke wamezoea sana hawa CCM
Tusirudi nyuma mpaka haki ipatikane kwenye nchi hii
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi amesisitiza umuhimu wa amani Wilayani Busega Mkoani Simiyu pamoja na kujitenga kutumika kisiasa kwa ajenda za kuvuruga amani ya Tanzania hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu...
Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂
-------------
Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Mjumbe wa halmshauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (Wazazi) - MNEC na mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha vijijini, Hamoud Abuu Jumaa akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi ya kuruka kamba kwa wananchi
Tukio hilo ni moja ya sehemu ya kufurahi pamoja na wananchi na wanachama wa chama cha...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hapa mmefumba macho hamjaona kilichotokea ila kazi ni kushinda kutuma tu meseji kwa wananchi kupambana na rushwa, ajabu hadi Polisi wapo hapo wanachekelea kwenye picha wamesahau wajibu wao :FeelsWeirdMan:
--------------
Mgombea Ubunge Jimbo la...
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za afya na miundombinu ya barabara katika vitongoji ili kurahisisha mawasiliano kwa wakulima
Kashakali...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Kwani ile Mikutano ya CCM huwa haitoshi Mgombea wao kujieleza Kuomba Kura kwa Wananchi, au ndo wanajishtukia kuwa sera zao hazina mvuto na ni za uongo
Arusha ndo hata hawaelewi Mgommbea wao yupo Mwanza anazurura badala ya kubaki kwa wananchi wake kunadi sera zake
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika:
"Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Octoba 29" akiwa ameambatanisha na video inayomuonyesha akisalimiana na wananchi
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29
Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
Mgombea ubunge wa Mkinga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewaahidi wananchi iwapo wakimpa ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo, atatatua kero ya umeme kwa baadhi ya vijiji ndani ya miezi mitatu
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mayomboni wilayani...
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeeleza kuhusu Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) zinazoendelea ambapo Mgombea nafasi ya...
Kwahiyo anachokifanya Wanu ni Rushwa au si Rushwa kwa sababu dola anatawala Mama, na kuna haja gani yeye kupita nyumba kwa nyumba wakati hana mpinzani :FeelsWeirdMan:
------------
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Wanu Hafidh AMeir akipita nyumba kwa nyumba...
:Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama Chama. Walitumikia chama kwa nguvu zote, wakajenga imani, na leo wamepewa tena nafasi ya kugombea...
Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, Nuru Kashakari (Kandahari), ameahidi kujenga kituo cha afya ndani ya miezi sita baada ya kuapishwa, akitumia fedha zake binafsi, ili kusogeza huduma za afya karibu na wananchi ambao kwa sasa wanalazimika kusafiri zaidi ya saa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametoa ufafanuzi kuwa siku ya tarehe 11 na tarehe 12 Oktoba 2025 Jimbo la Kigoma Mjini linatarajia kupokea Ugeni Mkubwa wa madaktari Bingwa ambao watatoa huduma ya matibabu
Madaktari hao...
Wananchi wa kabila la Wahadzabe, jamii ya asili yenye historia ya kipekee, wameonekana katika viwanja vya Madani wilayani Karatu mkoa wa Arusha wakiwa wamevalia sare za CCM na kuimba nyimbo za asili.
Hivi hawa, serikali ya CCM haijauza ardhi yao kweli kwa waarabu?
--
Sema CCM wakorogaji...
Wenzetu bado wanafurahia kupewa baiskeli jamani, ila wakumbuke hiyo mitano tena watasaga meno bila maendeleo maana hela ndo hizo wamenunuliwa baiskeli :Alien::Alien::Alien:
-------------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masanja Kadogosa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu yatatimia tena kwani Dk Samia atashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Makonda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.