kamanda

Gerard Kamanda wa Kamanda (10 December 1940 – 21 January 2016) was a Congolese politician who stood for President in the 2006 election in the Democratic Republic of the Congo. He was born in Kikwit. He previously worked as an advisor to Mobutu Sese Seko and during the 1990s, Kamanda served in a variety of positions, including deputy prime minister, and foreign minister three times; from 1982 to 1983, from 1995 to February 1996 and from December 1996 until May 1997 when the Mobutu government collapsed. Kamanda was later the minister of scientific research in the transition government.Kamanda represented the Nationalist Common Front party, established in 1990, which aims to modernize Congo by emphasizing science and technology. He raised concerns of electoral irregularities with the Independent Electoral Commission. According to the provisional results his presidential campaign was unsuccessful, receiving less than 3% of the vote.

View More On Wikipedia.org
  1. Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
  2. Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

    Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon. Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua...
  3. Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

    Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto....... Hapa wamemuua kamanda...
  4. Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa. Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
  5. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  6. Kamanda SUGU anaua vibaya, duh!

  7. Zaidi ya Bilioni 1.4 yajenga Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Sagini atoa neno

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4. Akizungumza baada ya kukagua wa Mradi huo, Sagini...
  8. Uganda Charges Militia Chief Over Tourist Murders

    Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month. A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
  9. Kamanda wa HAMAS auawa huko Gaza

    Poleni mashabiki wa HAMAS humu, kamanda kawahishwa kwa mabikira, sijui kama yeye atapewa zaidi ya 72 au kwa vile yeye kamanda anaweza akapewa 200 hivi, dah raha sana nyie watu, ila mabikira wana usumbufu haswa hawa kila wakitolewa ubikira unarudi. ====== IDF says it has eliminated the...
  10. Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  11. TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  12. Kamanda Mkuu mwingine wa HAMAS apigwa risasi na kuuawa

    Huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote, Israel wanaendelea na fagia fagia za HAMAS, wanafyeka sio mchezo. =========================== The Israeli military said it killed a Hamas commander as part of strikes on some 250 targets Sunday, mostly in the northern Gaza Strip. The commander was...
  13. Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kumkamata kamanda wa Urusi na wanajeshi kadhaa

    Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa.... SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine have captured four servicemen of the Russian Army during the storming of Russian positions: among...
  14. Kamanda wa Urusi aliuawa kwenye lile shambulizi la kambi ya Black fleet, Crimea

    Makamanda wa Urusi waliofia Ukraine wazidi kuongezeka, kumbe na huyu alifagiwa humo humo na lile kombora ambalo lilichakaza kambi yote na kuua wanajeshi wengi sana na kulipua kila kitu..... Commander of the Russian Black Sea Fleet Vice-Admiral Viktor Sokolov salutes during a send-off ceremony...
  15. Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  16. S

    Huyu Kamanda wa usalama barabarani apongezwe

    Iwe fundisho kwa madereva wengine.
  17. Kamanda wa kikosi cha Chechnya auawa kwenye mapambano na Ukraine

    Watu wanafia kwenye nchi ya watu, ukiwauliza wanachopigania, hawana cha kujibu..... PHOTO: DKULKO/TELEGRAM Yevgeny Pisarenko, the commander of Akhmat, a Chechen armed formation that is fighting on the Russian side, has been killed in combat in Donbas. Source: Russian Kremlin-aligned media...
  18. B

    Uhalifu siku zote hauna faida: Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo

    Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo AFPCopyright: AFP Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
  19. 5

    Kamanda wa Ukraine apongeza mafanikio kusini asema njia ni nyeupe

    Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao
  20. Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

    Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum. Chanzo: Clouds Media
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…