kaliua

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa: Mangungu apaita Kaliua kijiji cha porini

    Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Ualimu Kaliua hatujalipwa Fedha za Kujikimu, waliolipwa wamepewa nusu

    Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa. Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mishahara inachelewa kwa Watumishi wa hospitali ya St. John Paul II ya Kaliua, Tabora

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu ucheleweshwaji wa mishahara kwa watumishi wa Hospitali ya St. John Paul II iliyopo Kaliua, Tabora. Kuna madai kwamba watumishi wa hospitali hiyo wamekuwa wakicheleweshewa mishahara yao bila sababu za msingi na bila kupewa taarifa kuhusu sababu za kuchelewa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kaliua: Mwenge wa Uhuru wazindua, na kuweka mawe ya msingi miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Katika mwaka huu Mwenge wa Uhuru umezindua, umeweka mawe ya msingina umetembelea miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kaliua yanunua mtambo wa shilingi bilioni 1.2 wa kutengeneza barabara, siku zote walikua wapi wanategea tukikaribia uchaguzi?

    Wakuu Hii mitambo ya kutengeneza barabara inanunuliwa sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi, siku zote wanakuwa wapi? au ndo kura zinatafutwa kwa kuhadaa wananchi. Alafu mtambo huo huo baada ya uchaguzi utakuta unaharibika:AAAA: ===== Mbio za Mwenge wa Uhuru umezindua mtambo wa kutengeneza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu. Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa. Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
  8. JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

    BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua. Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usimamizi mbovu mradi wa maji kijiji cha Uhindi kata ya Uyowa, Kaliua

    Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji wa Milioni 550 Watekelezwa Usinge Jimbo la Kaliua

    "Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehakikisha amesemea Usinge mpate mradi wa maji"...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  15. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kaliua: Kituo cha Afya Usinge Chapokea Vifaa Tiba vya Tsh. Milioni 200

    JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11. Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru Wazindua Miradi ya Bilioni 2.2 Wilaya ya Kaliua

    Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali itusaidie kuboresha Barabara ya Kaliua hadi Kahama

    Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi. Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Ofisi ya OCD Wilaya ya Kaliua

    SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amekiri kuwa Serikali katika mpango wake wa miaka 10 wa kujenga vituo vya Polisi ngazi ya Wilaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…