kaliua

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  2. kalamu chuma

    JamiiForums Tanzania Kaliua Saga: Vita ya Madaraka na uhuni wa wahuni

    Ulipofika wakati wa kustaafu mzee Nchimbi (the former DEO) watu walitarajia kupata promotion kuchukua nafasi yake lakini haikuwa hivyo badala yake akaletwa Martin Mahinda kushika madaraka ya DEO. Watu wakaanza kumsoma DEO mpya ni nani na kwa nini kaliua. Kutokana na uchanga wa wilaya nafasi...
  3. Chato tena

    JamiiForums Tanzania Wilaya Kaliua na sakata la Mwalimu Johari kupigwa ofisini

    Wilaya ya Kaliua inakumbwa na majanga mengi kwa watumishi wake changamoto inayoikabili wilaya ni Rushwa ya ngono kwa watendaji wake hasa wakuu wa vitengo kuwakata watumishi wa kada za chini. Tukianzia sakata la mwalimu johari kupigwa na mkuu wake wa shule. Ni kweli mkuu wa shule alimpiga...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  6. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
Back
Top Bottom